marafiki wa kiumeni kusema siri ya rafiki ni ngumu sana,, miaka 11 inatosha kwa yeye kuamua kunyoa ama kusuka ...ingekuwa mimi ningeshanyoa kitamboooo na wakati huu ni miluzi ya furaha tu naimba na kumtukuza Jehovah kwa kunifungua akili nikiwa na nguvu.Umeolewa na play boy. Utaumia maisha yako yote ,Kumtuliza mwanaume huyo labda apate ushauri nasaha. Wengi waliathiriwa kwa kuwakosa wanawake waliowapenda sana .Tafuta rafiki yake anaweza akakuelezea mitazamo ya mwenza wako alafu utaamua kusuka au kunyoa.
Hapa wamekutana pair tofauti kabisa huyu mume ni gangstar love huyu mwingine ana true love . Malezi ya kijana atakuwa kalelewa na baba tu sasa kijana kakopi uhuni wa baba kamwe hawezi kushow love .marafiki wa kiumeni kusema siri ya rafiki ni ngumu sana,, miaka 11 inatosha kwa yeye kuamua kunyoa ama kusuka ...ingekuwa mimi ningeshanyoa kitamboooo na wakati huu ni miluzi ya furaha tu naimba na kumtukuza Jehovah kwa kunifungua akili nikiwa na nguvu.
kuna maisha nje ya ndoa hakika.
ila bi dada hajiongezi wala hajipendiHapa wamekutana pair tofauti kabisa huyu mume ni gangstar love huyu mwingine ana true love . Malezi ya kijana atakuwa kalelewa na baba tu sasa kijana kakopi uhuni wa baba kamwe hawezi kushow love .
AnakeraHuyo sio mume ni muhuni, Usiogope kufanya maamuzi for your own good, mtu ambae hajali hisia zako wala hajali ypur presence as a wife ndani ya nyumba ni hatari, bad enough he beats you to that extent
Kwa kifupi aba mahusiano nje, kama uvumilivu tayari umemvumilia vya kutosha na ndugu wamewasuluhisha ila hakuna mabadiliko, hatua ya mwisho ni kwenda kanisani kama ulivyosema mmefunga ndoa ya kikiristo, wataarifu biongozi wako wa kiroho then usepe wala usitake upatanisho tena atakuua huyo
4months no dyudyu hiyo sio ndoa mpendwa
Jipange kwa kidogo ulichonacho ukaanze maisha yako, life is too short usijibebeshe mzigo usiuweza
Amekutana na bahati mbaya kwa kweli, aachene kabisa na hiyo ndoa, atakufa kabla ya siku si zakeAnakera
Siku akirudishwa kwao kwenye jeneza utapiga vigelegele. Kama bado hujaolewa nakuombea upate janadume la hivyoPole Sana,
Ndoa zina shida na raha,,upendo wa kweli hudhihirika wakati wa shida na mateso.
Je,tukiwapenda watupendao twafanya ziada gani?
Wapendeni wote,waombeeni wanaowaudhi.
Zidi kuomba,usichoke..
Ipo siku atabadilika,,,kuwa mwaminifu na msihi Mungu ambadilishe.
Nb: Sikushauri uvunje ndoa yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uvumilivu wake sio wa kawaida, Ila nakwambia huyo dada haondoki hapo... miaka nenda rudi atakuwepo hapo hapo. Tunapoteza muda kumshauriAmekutana na bahati mbaya kwa kweli, aachene kabisa na hiyo ndoa, atakufa kabla ya siku si zake