Am back from sobibor

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,668
2,000
Nilikuwa kifungo huru ambacho nilidanganywa kwa kupewa madiko diko yaliyofanya niwe nje ya Dunia hii ya kidigital for almost 3 weeks,

Dunia ile ya kianalojia ni Dunia tamu sana iliyokuwa inanipa kila kitu aswaaa ule msosi wetu pendwa wa papuchi,

Zero nilikuwa naelea kwenye ulimwengu mwingine ,sio ulimwengu huu wa tweeter,Jf wala Facebook ni Mimi Na papuchi,papuchi Na mimi,

Aahaa nitakumisi sana analojia wangu leo nimeuona mwanga Na kujionea mengi yaliyojili kwenye hii Dunia ya digital,

R.I.P Zilla mnyama

R.I.P Boss ruge

We jimama uliyofanya kuloeka nguo zangu ili nisitoke nje ukaona haitoshi ukaloeka mpaka simu yangu ili nisiende digital Mungu anakuona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lhera

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
1,846

Single mama huyo au mwingne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom