''...am about to give up my business,msaada tafadhali...!!!''

IzeGREAT

Member
Jan 15, 2009
61
21
..napenda kuchukua nafasi hii kuomba msaada wa kimawazo kwa wana-JF popote walipo,ndani na nje ya nchi,..nilinunua gari used-costa(..siwezi kuidiskribe sabu sina utaalam sana wa magari zaidi ya kuweza kujua ipi ni costa,hice,etc..) mwishoni mwa 2010,ilifanya kazi vizuri constantly kwa muda kama wa miezi5hivi,ila afta zat ikawa mara brek mbovu,gear-box imeharibika,mara spring-zimekta,etc..,went on like zat in such a way I cant even say I had any kind of profit from it,rather mor and mor stress!!!!

Last yr in nikaambiwa engine ndo imeharika,kama ikipatikana mpya basi gari itarudi barabarani bila problem,nikajibanabana na kuduliza vijisenti nikanunua engine in October 2011 kwa 4.2M,ila baada kama ya mwezi matatizo ya vi2vingine yakaanza tena,kwa sasa gari inapiga mzigo labda kwa siku2zen wiki iko hom kusubiri hela ya kununulia ki2ambacho kitakuwa kimeharibika kwasabu kwa sasa sina ki2n in short sina ma2maini ya kwamba naweza kusimama na kuanza kuhesabu faida na kutoka kwa staili ya biashara ya usafirishaji ingawa nilipopiga mahesabu ya TzSh 70,000/= kwa siku niliona kuwa ingeweza kuwa ni biashara nzuri ya kuanzia kutafuta maisha,sabu moja ya dreams zangu za maisha ni kuja kujiajiri mwenyewe kwa kuwa na miradi yangu binafsi kwa badaye ntakapomaliza chuo!!!

Kwa sasa niko njia panda (i.e.. kwasababu napenda biashara ingawa sina elimu ya biashara proffesionally and its hard4Me..),
1) Niliuze au niemndelee nalo(i.e kama kuendelea nalo ni kivipi ili kuweza kupata faida)????

2) Sina fedha yoyote ya kuweza kulifanyia service ful kwa ku-repair kila ki2kilichoharibika,JE KUNA UWEZEKANO WA KU2MIA GARI AMBAYO HAIKO NZIMA FUL KAMA HII KUWEKA REHANI NA KUPATA MKOPO IN ANY ASSOCIATION Tz(..naomba infoz za riba plz)??

3) Kuna m2yeyote ambaye alitoka kwa kuanza na gari moja (..if yes,naomba msaada wenu plz..) ???

THANK U OL IN ADVANCE4EVRY SINGLE COMENT AND TROUBLE ZAT U TAKE2HELP PEOPLE LIKE ME2C ZE FUTURE!!!

Ukitaka kunipatia infoz zako ila ungependa iwe personal,my mail is vagalrecurent@hotmail.com !!!
 
hiyo gari sio mke useme mmefunga nadhiri. Piga bei skrepa hiyo na hiyo scrap value uangalie ustaarabu mwingine
 
Bwana Ize pole sana ila mim ningependa kukupa ushauri wa kitaalamu ili uweze kuendelea na biashara. Jambo la kwanza unapaswa kufanya hesabu ya pesa ulinunulia gari kutoa pesa umeipata toka imekuwa nyian. Jibu utakalo pata toa gharama za matumizi. Mfano gar 16mil makusanyo toka lipo barabaran 26mil, gharama zauwendeshaji 6mil. Utachukua 26m-16m=10m, then chukua 10m-6m=4m. Ikiwa utapata jibu chanya usiuze gari ukipata jibu hasi kwakwel uza gari, ukipata jibu sifuri pia usiuze gari maana uwenda itakurudishia faida. Baada yahapo naweza kukusaidia zaidi. Asante.
 
Business is asset and your mini bus has turned to be liability. I would suggest you get rid of it at your earliest convenient before getting into deeper financial hole. I think your focus should be on finding a buyer with the highest willingness to pay for the minibus, even if that would mean fixing this and that or finding buyers from mikoani. The cash you will get from the sale you can then think about regrouping.
 
mkuu IG,
ushauri ni kwamba,kwa kila utachoona kinachukua hela toka mfukoni mwako,na hakiizungushi iyo hela kwa maana ya kuiongeza,achana nacho mapema.uza ,think of the other positive idea inayorelate na mazingira yako usonge mbele.
 
Mfano gar 16mil makusanyo toka lipo barabaran 26mil, gharama zauwendeshaji 6mil. Utachukua 26m-16m=10m, then chukua 10m-6m=4m. Ikiwa utapata jibu chanya usiuze gari ukipata jibu hasi kwakwel uza gari, ukipata jibu sifuri pia usiuze gari maana uwenda itakurudishia faida. Baada yahapo naweza kukusaidia zaidi.
Asante.

Mkuu tumaini, naona ushauri wako sio wakitaalamu sana. Hesabu za bihashara ambayo jamaa anaifanya haziko rahisi kama mfano wako ulivyo. Jamaa anakuambia kwamba in practical capital yake (given time of operation) haijarudi na anachofanya sasa nikutumia ela yake ya mfukoni kugharamia matengenezo. Kiutaalamu zaidi lazima uingizie time factor kwenye hesabu zako ili ujue pato la kila siku linarudisha mtaji kwa asilimia ngapi, uku uki factor in waring and tarring.

Nilivyomsoma mimi mtoa mada, mapato ya siku hayampi punguzo la mtaji na badala yake anajiongezea mtaji tu kwa kutumia ela yake mwenyewe ku finance matengenezo.
 
Biashara za magari wanaziweza wapemba na wachaga,lol! Yaani baada ya ile ya baa ambayo ibataka full time uwe hapo, nyingine ni hiyo ya magari. Inatesa sana maana uaminifu na uelewa wa watu bado ni mdogo
 
Mgonjwa hujaelewa vizuri ushauri wa Tumaini Eli.

Huyu bwana asikurupukie kuuza. afanye kwanza hiyo analysis. bse alitakiwa kuweka depreciation factor, na managements za riks hata wakati basi ni jipya limeanza operation.

Kuna factors nyingi zimepelekea yeye kushindwa now. mfano hajui hata aina ya gari, naamini hata service huwa hafuatilii, wenda hata hizo spare parts wenda hajui kama walikuwa wanabadili.

ili auze lazima ajue value ya gari, na kujua value ya gari lazima ajue ameshapata sh ngapi from gari so far hatakama alizila. then aangalie gari limetumia sh ngapi ...then aangalie yuko tayari kuuza sh ngapi......... nk..

Mkuu tumaini, naona ushauri wako sio wakitaalamu sana. Hesabu za bihashara ambayo jamaa anaifanya haziko rahisi kama mfano wako ulivyo. Jamaa anakuambia kwamba in practical capital yake (given time of operation) haijarudi na anachofanya sasa nikutumia ela yake ya mfukoni kugharamia matengenezo. Kiutaalamu zaidi lazima uingizie time factor kwenye hesabu zako ili ujue pato la kila siku linarudisha mtaji kwa asilimia ngapi, uku uki factor in waring and tarring.

Nilivyomsoma mimi mtoa mada, mapato ya siku hayampi punguzo la mtaji na badala yake anajiongezea mtaji tu kwa kutumia ela yake mwenyewe ku finance matengenezo.
 
..thanks evrybdy frm up there,ila nilipenda kuongezea ki2kwa Smarter,point aliyoingeza ya ''..SERVICE..'' imenigusa,ni ki2ambacho mimi mwenyewe niliomba gari iwe inakwenda service evry weekend(i.e once per week) sabu suala zima la feza na ukichek ndo kwanza nlikua naanza biznes yenyewe,tatizo ni kwamba siko Tz,niko nje kimasomo(i.e nachukua MEDICINE),hom niliemuachia kuangalia na kupokea feza ni mdogo wangu ambaye(..bkoz my family is not not in DSM),nazani kuna ukweli fulani ktk suala zima la ufatiliaji wa service,kwamba eiza vfaa huwa vinabadilishwa kweli au jst vinapigwa msasa wa juujuu2na kukbadhiwa,zen in2-3days U ar back again wiz no idea at ol...

...my bigest dream is to see myself havin my own Hospitals or Clinics back hom smdys,sabu nimeona jinsi gani wenze2wako far ktk suala la afya ya jamii,so nlipopata hili dili na zile caculations za Shs 70,000/= per day zilinivutia akilini na kuvutika kuanza na hii ili nii2mie kusev4my future planz na kuexpand kadri oportunities zitakavojitokeza..,pia ni kweli kwamba elimu ya magari kiundani sinayo4sure..
 
Kaka biashara ya usafari kamwe huwezi fatilia ukia nje ya nchii...try something else bro. That biz hata mtu wa hapa hapa bongo inamshinda sembuse wewe wa mbaaaali...!!
 
Kwanza umefanya classic mistake, unapofanya biashara inayotumia gari/machine etc lazima uhakikishe unailea kama inavyotakiwa ili production capacity yake iendelee kuwepo, sio unaisukuma tu hadi mwishoni inakufa kabisa.

Kwa sasa inabidi ufanye mahesanbu ndo utajua kama kuna haja ya kuendelea na hii biashara.
Una expirience sasa ya hiyo gari ikiwa inafanya kazi inaingiza kiasi gani sasa fanya mahesabu je ukiigharamia kuitengeneza hiyo gari itachukua muda gani kwa hela yako kurudi? Je muda huo ni bora ungeweka hela yako benki ikusanye riba au uinvest kwenye low risk gov bonds, je hiyo hela unaweza kuitumia sehemu nyingine kuzalisha zaidi?

Fungua spreadsheet anza kuingiza namba zote zilizotoka na ukingia hadi leo, utapata idea za jinsi ya kuzitoa na kugawanya namba zako hadi utapata jibu.

Kuna kitu pia kinaitwa "sunk cost fallacy" hii ni ile idea kwa kuwa nimeshatumia million 20 kwenye hii biashara basi niendlee kutumia zaidi hata kama namba zinaniambia huko mbele ni hasra tu, jilinde na hilo.
 
I couldn't put it in any better way

KIBIASHARA UMESEMA MAMBO MAWILI MUHIMU ZAIDI KULIKO MENGINE:

Moja, umesema "nilinunua gari used-costa(..siwezi kuidiskribe sabu sina utaalam sana wa magari zaidi ya kuweza kujua ipi ni costa,hice,etc..". Pili, umesema "moja ya dreams zangu za maisha ni kuja kujiajiri mwenyewe kwa kuwa na miradi yangu binafsi" Diagnosis ni kwamba unaweza kufanya biashara kwa kuwa nia unayo, lakini upo katika eneo ambalo hulijui.

USHAURI WANGU NI KWAMBA UZA HILO GARI NA KUBUNI BIASHARA NYINGINE KATIKA ENEO AMBALO UNALIELEWA VIZURI. SI VIZURI KUFANYA BIASHARA YA KITU AMBACHO HUNA UJUZI NACHO.

BAHATI NI KWAMBA UNAYO NIA YA KUJIAJIRI. HILO LINAFUNGUA MLANGO WA MAFANIKIO YA KIBIASHARA KATIKA ENEO AMBALO UNALIELEWA. UKITAKA USHAURI WA ZIADA, au hata kutengezewa mchangauo utaokulipa, basi NITAFUTE KWA ANUANI HII: jbinala@hotmail.com

KUHUSU KUTAFUTA FEDHA KUTOKA TAASISI ZA MIKOPO, NAKUPA ONYO KUWA HAWA HADIDU ZA REJEA WANAZOTUMIA NI PAMOJA NA TABIA YA MTU KUWA AWE NI MWENYE KUJALI MADENI, AWE NA MALI INAYOWEZA KUUZIKA KIRAHISIRAHISI KURUDISHA DENI PINDI ANAPOSHINDWA KULIPA, LAKINI KINGINE NI KWAMBA ANATAKIWA AWE NA BIASHARA YENYE MWELEKEO WA FAIDA. MAELEZO YAKO YANAONESHA UPO KATIKA BIASHARA AMBAYO SI PROFITABLE. MKOPO UTAKUPA SHIDA KUUPATA.

KWA HIYO? UZA GARI.... ANZA BIASHARA KATIKA ENEO UNALOLIELEWA VIZURI!

Kwa sasa niko njia panda (i.e.. kwasababu napenda biashara ingawa sina elimu ya biashara proffesionally and its hard4Me..),
1) Niliuze au niemndelee nalo(i.e kama kuendelea nalo ni kivipi ili kuweza kupata faida)????

2) Sina fedha yoyote ya kuweza kulifanyia service ful kwa ku-repair kila ki2kilichoharibika,JE KUNA UWEZEKANO WA KU2MIA GARI AMBAYO HAIKO NZIMA FUL KAMA HII KUWEKA REHANI NA KUPATA MKOPO IN ANY ASSOCIATION Tz(..naomba infoz za riba plz)??

3) Kuna m2yeyote ambaye alitoka kwa kuanza na gari moja (..if yes,naomba msaada wenu plz..) ???

THANK U OL IN ADVANCE4EVRY SINGLE COMENT AND TROUBLE ZAT U TAKE2HELP PEOPLE LIKE ME2C ZE FUTURE!!!

Ukitaka kunipatia infoz zako ila ungependa iwe personal,my mail is vagalrecurent@hotmail.com !!!
 
...thnx JB4ur help,wil inbox U soon4mor infoz and experience sharing,alwyz I like2learn frm azaz wiz experience,I real apriciate ur concern..
 
Dude can't you just write 'proper' sentences. What's with this sms writing you're using here. Your an educated person I presume, so please use that education to put across whatever argument or explanation.
This type of writing will destroy your writing skills if you keep it up. I don;t know why people think it's cool to abbreviate every word...SMH:focus:
 
Biashara ya Gari tena moja sio biashara mkuu. Dereva na konda kila leo watakwambia mara trafiki, pancha............. ukiwambia liacheni basi kama halilipi hawakubali. In short kwa uzoefdu wangu biashara ya transportation klama haijawa kubwa kwa maana ya gari moja au mbili mara nyingi anaefaidi ni dereva wewe utaishia kupewa sababu zisizo kwisha. uza angalia upande wa pili
 
Pole sana mkuu, Imeniuma sana ingawa sina share.....
Ila its a lesson. next time better entering a contract with a tour company wawe wanakupa your monthly sum wao wanakodi kwa shughuli fulani fulani,.

when are you completing your studies, and una plan kurudi lini Tanzania?

..thanks evrybdy frm up there,ila nilipenda kuongezea ki2kwa Smarter,point aliyoingeza ya ''..SERVICE..'' imenigusa,ni ki2ambacho mimi mwenyewe niliomba gari iwe inakwenda service evry weekend(i.e once per week) sabu suala zima la feza na ukichek ndo kwanza nlikua naanza biznes yenyewe,tatizo ni kwamba siko Tz,niko nje kimasomo(i.e nachukua MEDICINE),hom niliemuachia kuangalia na kupokea feza ni mdogo wangu ambaye(..bkoz my family is not not in DSM),nazani kuna ukweli fulani ktk suala zima la ufatiliaji wa service,kwamba eiza vfaa huwa vinabadilishwa kweli au jst vinapigwa msasa wa juujuu2na kukbadhiwa,zen in2-3days U ar back again wiz no idea at ol...

...my bigest dream is to see myself havin my own Hospitals or Clinics back hom smdys,sabu nimeona jinsi gani wenze2wako far ktk suala la afya ya jamii,so nlipopata hili dili na zile caculations za Shs 70,000/= per day zilinivutia akilini na kuvutika kuanza na hii ili nii2mie kusev4my future planz na kuexpand kadri oportunities zitakavojitokeza..,pia ni kweli kwamba elimu ya magari kiundani sinayo4sure..
 
...Nakupata Smarter,am expecting2finish my studies next yr,Juny-2013 if GOD WISHES,na ntakuwa back hom2bye August2prepare4my INTERNSHIP PROCEDURES AND CERTIFY MY CERTICATES...
 
Satellite Management is the worse management strategy in any business. Ushauri wangu, fanya cost benefit analysis zako, then execute base on that analysis.

Mimi nipo nje ya nchi pia, tatizo la bongo ni trust na kwamba kila mtu anakuona ng'ombe wa mawiziwa sababu tuu upo nje ya nchi. I learned this Trust No One should be a best approach going forward.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom