Although Tanzanians need changes but not for Lowassa

NJALI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
1,534
Reaction score
1,091
Ni kweli CCM IMECHOKA, IMEKOSA MBINU MPYA ZA KUWALETEA WATANZANIA MAENDELEO LAKINI SI KUMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS.
KUNA SABABU NYINGI LAKINI KUBWA ZAIDI IKIWA UADILIFU. Lowassa sio muadilifu japo hata Makufuli sina hakika kama ni msafi 100% ila kwa Lowassa ni dhahiri shahiri.
Ukweli ni kwamba hatujapata mbadala WA kupiku CCM BORA IENDELEE HADI UTAKAPO PATIKANA MBADALA WAKW. ACT WASIPO JICHANFANYA HUENDA WAKAFAA KULIKO VYAMA VINGINE VYOTE VYA UPINZANI.
KARIBUNI KWA MAWAZO YENU WANA JANVI.
 
Lowassa chaguo la wengi
 
Ujuha ni kufanya jambo lile lile kwa namna ileile halafu utegemee matokeo tofauti....

Eti kweli ccm imechoka halafu bado iendelee...
#Toroka Uje
 
Ni kweli. Kukabidhi nchi kwa genge la walanguzi ni kukosa uzalendo...
 
Ni kweli CCM IMECHOKA, IMEKOSA MBINU MPYA ZA KUWALETEA WATANZANIA MAENDELEO LAKINI SI KUMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS.
KUNA SABABU NYINGI LAKINI KUBWA ZAIDI IKIWA UADILIFU. Lowassa sio muadilifu japo hata Makufuli sina hakika kama ni msafi 100% ila kwa Lowassa ni dhahiri shahiri.
Ukweli ni kwamba hatujapata mbadala WA kupiku CCM BORA IENDELEE HADI UTAKAPO PATIKANA MBADALA WAKW. ACT WASIPO JICHANFANYA HUENDA WAKAFAA KULIKO VYAMA VINGINE VYOTE VYA UPINZANI.
KARIBUNI KWA MAWAZO YENU WANA JANVI.

Oi Hiyo heading yako vipi. Si bora uandike Kiswahili kama haujui Kingereza na sio kujiletea aibu
 
Ni kweli CCM IMECHOKA, IMEKOSA MBINU MPYA ZA KUWALETEA WATANZANIA MAENDELEO LAKINI SI KUMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS.
KUNA SABABU NYINGI LAKINI KUBWA ZAIDI IKIWA UADILIFU. Lowassa sio muadilifu japo hata Makufuli sina hakika kama ni msafi 100% ila kwa Lowassa ni dhahiri shahiri.
Ukweli ni kwamba hatujapata mbadala WA kupiku CCM BORA IENDELEE HADI UTAKAPO PATIKANA MBADALA WAKW. ACT WASIPO JICHANFANYA HUENDA WAKAFAA KULIKO VYAMA VINGINE VYOTE VYA UPINZANI.
KARIBUNI KWA MAWAZO YENU WANA JANVI.

kakojoe, unye kisha ukalale.
 
CCM IENDELEE NA EPA, ESCROW, KUUZA MENO YA TEMBO etc??

UCHUMI uendelee kufa? Afya, Elimu, Miundombinu iendelee kufa??? Dola iendelee kupanda? $1=6000TShs??

ACT inayofadhiliwa na CCM???

Ht usemeje,ht uandike nn,ht mtembee na wasanii mpk kila nyumba,ht msombe hd mazombi mpeleke kwny fiesta lkn mwaka huu ni lowasa tu
 
Lowassa chaguo la wengi

Kwao wengi UADILIFU hawaujui? maamuzi ya kufakufa mkayafanye juu ya familia zenu ili madhara yawarudie hukohuko sisi nchi yetu haataji wenye maamuzi ya kufakufa na kisebusebu na kiroho papo
 
Ni kweli CCM IMECHOKA, IMEKOSA MBINU MPYA ZA KUWALETEA WATANZANIA MAENDELEO LAKINI SI KUMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS.
KUNA SABABU NYINGI LAKINI KUBWA ZAIDI IKIWA UADILIFU. Lowassa sio muadilifu japo hata Makufuli sina hakika kama ni msafi 100% ila kwa Lowassa ni dhahiri shahiri.
Ukweli ni kwamba hatujapata mbadala WA kupiku CCM BORA IENDELEE HADI UTAKAPO PATIKANA MBADALA WAKW. ACT WASIPO JICHANFANYA HUENDA WAKAFAA KULIKO VYAMA VINGINE VYOTE VYA UPINZANI.
KARIBUNI KWA MAWAZO YENU WANA JANVI.

Japokuwa Tanzania inahitaji Rais,lakini sio DIKTETA...JPM ana kila dalili za kuja kuwa Dikteta namba moja Afrika.
 
Ni kweli CCM IMECHOKA, IMEKOSA MBINU MPYA ZA KUWALETEA WATANZANIA MAENDELEO LAKINI SI KUMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS.
KUNA SABABU NYINGI LAKINI KUBWA ZAIDI IKIWA UADILIFU. Lowassa sio muadilifu japo hata Makufuli sina hakika kama ni msafi 100% ila kwa Lowassa ni dhahiri shahiri.
Ukweli ni kwamba hatujapata mbadala WA kupiku CCM BORA IENDELEE HADI UTAKAPO PATIKANA MBADALA WAKW. ACT WASIPO JICHANFANYA HUENDA WAKAFAA KULIKO VYAMA VINGINE VYOTE VYA UPINZANI.
KARIBUNI KWA MAWAZO YENU WANA JANVI.

Kwa akili yako ilivyo ndogo unafkiri huu uchaguzi ni kuhusu Lowassa.... Chief huu uchaguzi ni kuhusu wewe na familia yako na ndugu zako na watanzania kwa ujumla...
 
Ni kweli CCM IMECHOKA, IMEKOSA MBINU MPYA ZA KUWALETEA WATANZANIA MAENDELEO.Ukweli ni kwamba hatujapata mbadala WA kupiku CCM. BORA IENDELEE HADI UTAKAPO PATIKANA MBADALA.

Namkumbuka Mkapa kwa mbaaali.
 
sipo tayari kuona lowassa anachukua nchi at any cost maana hafai pamoja na kuwa yupo kwa ukawa lakini kwa lowassa nasema hapana na mungu anipe nguvu nishinde matatizo haya
 
CCM IENDELEE NA EPA, ESCROW, KUUZA MENO YA TEMBO etc??

UCHUMI uendelee kufa? Afya, Elimu, Miundombinu iendelee kufa??? Dola iendelee kupanda? $1=6000TShs??

ACT inayofadhiliwa na CCM???

Wanaotaka CCM iendelee kuongoza ni wale tu ambao hawajatembea na kuona nchi nyingine zinavyopiga hatua kimaendeleo nchi zina mipango ya maana ya maendeleo so tunaishia kuandaa mipango ya miaka 5 inayotupeleka kwenye uchaguzi. Ili nchi ipate economic transformation hatuwezi kuishi kwa mipango ya miaka 5.Viongozi na Taasisi za nchi yetu ama hawana maono au hawana uzalendo kwa taifa lao maana haiwezekani wasijue/kuona kinachoendelea katika nchi nyingine hata kwa kuiga tu yanayofanyika huko. Kwa msingi huo nampuuza mtu yeyote anayetetea asichokiamini
 
Ni kweli CCM IMECHOKA, IMEKOSA MBINU MPYA ZA KUWALETEA WATANZANIA MAENDELEO LAKINI SI KUMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS.
KUNA SABABU NYINGI LAKINI KUBWA ZAIDI IKIWA UADILIFU. Lowassa sio muadilifu japo hata Makufuli sina hakika kama ni msafi 100% ila kwa Lowassa ni dhahiri shahiri.
Ukweli ni kwamba hatujapata mbadala WA kupiku CCM BORA IENDELEE HADI UTAKAPO PATIKANA MBADALA WAKW. ACT WASIPO JICHANFANYA HUENDA WAKAFAA KULIKO VYAMA VINGINE VYOTE VYA UPINZANI.
KARIBUNI KWA MAWAZO YENU WANA JANVI.

Haihitaji shahada ya uzamivu kwa NTU mwenye akili timamu kabisa kabisa kugundua kwamba wewe ni kichaa mazima au You are clinically brain dead. RIP. Period
 
Back
Top Bottom