Altezza Inahitajika haraka

Mponjoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
668
Reaction score
159
Habari wadau

Nahitaji Toyota Altezza haraka.

Color: Black or Silver
Year: Not before 2001
Budget: 8.5m


Isiwe imetumika Tanzania zaidi ya mwaka mmoja.
 
Kama imetumika Kenya au UG vip?

Nadhani maelezo yangu yanajitosheleza. Si kila kitu lazima uache comment. Kama una Altezza inayomeet hivyo vigezo, tuongee biashaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…