Kizazi jeuri
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 297
- 64
Wapenzi wasomaji... Naleta kwenu habari ya mjini kipenzi cha watu Altezza Gita rangi ya silver from Japan.... Ushindwe wewe tuuuuu... Km 97,000 aaahaaa full utamu..!! DVD player full movie kuona & kiyoyozi Kama una Mnyama a.k.a ngiri please usinunue maaana ni balaaaa.... Aaaahaaa bei sawa na bure milion 12 cash.... Ahaaaa picha unauliza? Nicheki ntakutumia whatssup.... Please ni PM Kama upo serious......