Alteza vs subaru

Johnkelly

Member
Nov 14, 2016
75
45
Wataal na wazoefu wa magari alteza manual na subaru manual ip iko vizuri kwa safari dar es salaam to mbeya maana mm ni mtu wa safari sana ushauli wenu mhuhim wakuu
 
chu

kua subaru mkuu ipo powa sana na kama unakuwa na cash unaifanyia manjonjo ya tuning na mapping mpaka iwe inafika speed 300. harafu subaru zimetulia sana barabarani sio kama alteza ukizungusha unazunguka nayo mazima haina balansi. mara 100 chukua LEXUZ mkuu kama huta kuwa na uwezo wa kukamata subaru
 
BIMA huwezi fananisha na hizo mbili.
 
Attachments

  • BONGO RACING (@bongo_racing) • Instagram photos and videos.mp4
    3 MB · Views: 93
chu

kua subaru mkuu ipo powa sana na kama unakuwa na cash unaifanyia manjonjo ya tuning na mapping mpaka iwe inafika speed 300. harafu subaru zimetulia sana barabarani sio kama alteza ukizungusha unazunguka nayo mazima haina balansi. mara 100 chukua LEXUZ mkuu kama huta kuwa na uwezo wa kukamata subaru

Bro; ntupie Inbox No. yako
 
Du mkuu taratibu! Hiyo speed 300 unaindeshea barabara gani?
 
Nimewahi endesha alteza subaru bado nami natamani sana kujua mpambano huu wajuzi watujuze zaidi
 
LEGE hio mapping na tuning kwenye 1g beams inawezekana
1g ukaifanyie tuning? utapoteza hela bure mkuu for minimum gain, nimecheki hio 1g supercharger kit tu kama euro 2000, afu unapata 240hp. Its not worth at all
 
Mi nina subaru legacy
Inakimbia kinoma na imetulia sana atakama ukiwa na spidi kubwa sana ya ajabu
Alteza hazina speed zina kelele2 ambayo sio premium kama ya subaru
Na kuna siku flan hvi nilichukua alteza lexus yenye gia sita
Kuiendesha inayumbayumba sana barabaran
 
Duuuuh! Thanks kwa maoni yako kaka, maana hapa nko kwenye Mtihani sana cuz sijawahi Nunua Altezza wala Subaru, hasa nkawa nawaza bora ipi? Hapo umenifungua sasa! Vp kuhusu Subaru Imprezza WRX, iko vp? Nataka gari saiv!
 
LEGE hio mapping na tuning kwenye 1g beams inawezekana

Kaka, natamani nijue zaidi kuhusu hilo swala la Mapping na Tuning, ndo iko vp? Au una fundi yeyote unaemfaham anaefanya hayo mambo ili uniunganishe nae, Maana Imprezza Yangu ndo ipo njiani kuja!
 
Ni kiasi cha kuongeza ufanisi kwenye gari na ni huyo huyo LEGE anaefanya.
 
Kaka, natamani nijue zaidi kuhusu hilo swala la Mapping na Tuning, ndo iko vp? Au una fundi yeyote unaemfaham anaefanya hayo mambo ili uniunganishe nae, Maana Imprezza Yangu ndo ipo njiani kuja!
Imprezza nayo iko poa ni muundo2 ndo umebadilika
Kuna turbo na nonturbo
Tulpo inapeleka mafta ukiwa on, ila isipokuwa on nayo inakunywa kawaida2
Na nonturbo inanguvu vilevile sana ila for better power go for turbo
Kuhusu kununua legacy ni nzr sana maana ni subaru yenye combination ya sport na luxury yaan usipotumia kisport inakuwa kimya sana

Ila alteza sikushauri, inayumbayumba sana na ndani haina confort ya room
Na myb becoz nimeendesha sana subaru kuliko gari nyingine yeyote
 
Back
Top Bottom