Dah,gari imeanza kupotea sokoni we ndio unaitamani,imepitwa na fasheni hiyo,ni sawa na kuvaa raizon miaka hi
Ni kweli mkuu, ila ndo first car🤣...naona kama ni best option, kwa kijana anayejitafuta..pia napenda sedanDah,gari imeanza kupotea sokoni we ndio unaitamani,imepitwa na fasheni hiyo,ni sawa na kuvaa raizon miaka hii
NitafutieUkiwa na 4m mpk 6m hapo Soweto, Tunduma unapata Altezza nzuri kuna wacheza kamari huwa wakipigwa wanauza bei kitonga sana
Alteza yenye 4 cylinder ndiyo zina nguvu zaidi pia zinakula mafuta zaidi kuliko 6 cylinder.Kuna vitu umenichanganya sana, yaani 4 cylinder ndio injini kubwa, halafu 6 cylinder ndio injini ndogo?
Hii ilikuwa gari yangu ya kwanza miaka 9 iliyopita nikiwa nimemaliza chuo.View attachment 3158673
Wakuu habari ya muda huu, ukweli toka moyoni nimekua navutiwa sana na gari aina ya Toyota alteza, hasa 4 cylinder engine.. Manual Transmission, kiasi cha kukosa usingizi nikifikiria siku ya kwanza kumiliki hii chuma itakuaje🙄🤔🤗
..Lakini pia nimekua nafuatilia na pia napenda sana kujifunza drifting, naamini ipo siku nitakua vzuri kwenye kudrift.🙏
-Baada ya kufanya utafiti kidgo kwa wabobezi nimebaini ya kuwa alteza yenye engine kubwa ya 4 ni nzuri zaidi kwenye speed, pamoja na drifting, huku ikiwa ina uwezo wa kwenda 9.5 km/ 1 litre...tofauti na teza ya 6 yenye engine ndogo...ambayo huenda km nyingi zaid almost 12 per 1 ltr.
-Nimekuja kwenu wakuu ili nipate muongozo, maoni na experience zaidi kuhusu alteza hii, ninayojiandaa kuimiliki as soon.
karibuni sana wadau
niko Mbeya-Soweto
kweli chief....hyo ilikua ni 6 cylinder mkuu? autoHii ilikuwa gari yangu ya kwanza miaka 9 iliyopita nikiwa nimemaliza chuo.
Ni gari ngumu sana, na inakimbia yani kwa vijana ilikuwa poa sana. sema ilikuwa automatic. Niliiuza baada ya rafiki yangu kuipga mzinga. Niliiuza hivyo hivyo ilikuwa imeharibika ubavuni na vioo kupasuka ila inatembea. Hadi leo napishanaga nayo bado inadunda.
Ilikuwa 6 cylinder auto ikiwa na engine ya beams 2000kweli chief....hyo ilikua ni 6 cylinder mkuu? auto
Mkuu mimi sikuwahi kufanya drifting, ila nilikuwaga napishana enzi hizo akina tbway wakienda fanya vurugu bagamoyo wakijiita team teza. Hivyo, sina jibu kamili. na kuhusu ukubw wa engine, mbon ainternet inasema 6 cylinder ni kubwa zaidi? Mimi si technical sana kwenye magari zaidi ya kujua vitu basic na kuendesha. Ila hizi ndo info za mtandaoni.samahn, mkuu hivi ni kweli teza yenye 6 cylinder sio rafiki kufanya drifting ukilinganisha na ile yenye engine kubwa ya 4 cylinder?
labda kitu ambacho ukijui alteza inakuja na engine aina mbil 1gvvti ambayo inaandikwa beam juu ya kava iyo inakua 6 uja hat kweny verosa gx110 na nyingine nying iyo fuel consumption ipo juu kidogo na sio sport ila kuna four cylinder ambayo inakuja na engine ya 3sg ambay ukifungua utaona imeandikwa yamaha ingaw gar katengenez toyot ila alichkua engine toka yamah ajil engine ya yamah ilifanywa sport zaid uraj wake mdogo ila ipo tuned mlio mzur na speed zaid so ukitak ufaid alteza usinue yenye 1g tafuta yenye 3sg ya yamah ambayo ndio sport car kama body ya gar ilivo sport na ikow manual uta enjoy zaid ila ukiifatisha mlio wa exhaust kukutupa ni jambo jepes sanAlteza yenye 4 cylinder ndiyo zina nguvu zaidi pia zinakula mafuta zaidi kuliko 6 cylinder.
Mtoa mada yupo Sahihi ingawa amekosea kasema 6 cylinder ndiyo engine ndogo ..... kumbuka alteza zinafanya vizuri sokoni ni hizo 4 cylinder yaani imeizidi Kwa kilakitu hiyo nyingine
ni kitu ambacho kinanivutia sana, navyowaona turning gang., team tezza wakidrift nimetokea kupenda, nahisi ni hobby yangu mkuu,..na kuna jamaa wa hapa mbeya-soweto, steve_techn amekua akiniinspire sana kumiliki altezaKwanini unataka drifting?
Drifting ni kufanyaje?
nashukuru sanalabda kitu ambacho ukijui alteza inakuja na engine aina mbil 1gvvti ambayo inaandikwa beam juu ya kava iyo inakua 6 uja hat kweny verosa gx110 na nyingine nying iyo fuel consumption ipo juu kidogo na sio sport ila kuna four cylinder ambayo inakuja na engine ya 3sg ambay ukifungua utaona imeandikwa yamaha ingaw gar katengenez toyot ila alichkua engine toka yamah ajil engine ya yamah ilifanywa sport zaid uraj wake mdogo ila ipo tuned mlio mzur na speed zaid so ukitak ufaid alteza usinue yenye 1g tafuta yenye 3sg ya yamah ambayo ndio sport car kama body ya gar ilivo sport na ikow manual uta enjoy zaid ila ukiifatisha mlio wa exhaust kukutupa ni jambo jepes san
25 kakaUna.umri gani dogo?