Alshabaab wajilipua kwenye kambi ya jeshi la Somalia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,228
50,379
Al Shabaab Islamist militants rammed a car packed with explosives into a Somali army base southwest of the capital on Monday and stormed inside, killing at least 10 soldiers, the group and a military officer said on Monday. "A suicide car bomb rammed into the base and then al Shabaab fighters stormed it.

At least 10 soldiers died," Major Ahmed Farah told Reuters from the nearby town of Afgooye. An al Shabaab spokesman said its fighters were behind the raid and said 30 soldiers had been killed. The group often cites a higher death toll than official figures.
Read more at: Al Shabaab militants attack Somali army base, killing at least 10 soldiers
 
Wewe mpuzi kweli
Unakimbilia kwajirani wakati ndani ya nyumbayako nako kunamoto

Jana kuna Wanaume walifanya yao kenya mbona umechuna!!!

Mwanamke auawa, 3 wajeruhiwa na Al Shabaab Mandera

MWANAMKE aliuawa kwa kupigwa risasi huku watu wengine watatu wakijeruhiwa katika shambulio lililotekelezwa na wafuasi wa kundi la kigaidi la Al Shabaab katika miji ya Lafey na Mandera.

Shambulio hilo, lililotekelezwa mwendo wa saa moja na nusu Jumamosi, lililenga abiria waliokuwa wakisafiri kwenye basi moja kutoka mji wa Mandera wakielekea kuhudhuria hafla ya mazishi mjini Lafey.

Akiongea na wanahabari kwa njia ya simu, naibu kamishna wa Lafey Erick Ornyi alisema wanamgambo hao wapatao 20 waliokuwa na silaha hatari walichomoka kutoka msituni na kulimiminia risasi gari hilo.

Afisa huyo alisema dereva wa gari hilo alilisimamisha baada ya kupigwa risasi mguuni na mkononi.

Ornyi alisema washambuliaji hao walitoweka na mali ya waathiriwa hao wakielekea nchini Somalia.

Bw Ornyi alisema maafisa wa usalama walitumwa eneo la tukio lakini hadi kufikia jana walikuwa hawajawakamata washambuliaji hao. Waliojeruhiwa wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mandera.
Bunduki 15
Shambulio hilo lilitokea saa chache baada ya wafuasi wa Al Shabaab waliokuwa na silaha kushambulia kituo cha polisi cha Diff katika kaunti jirani ya Wajir. Walitoweka na bunduki 15 na risasi kadha.

Kufuatia msururu wa mashambulio ya Al Shabaab eneo hilo, Gavana wa Mandera Ali Roba ametoa wito kwa Serikali ya Kitaifa kupeleka Polisi wa Akiba 900 eneo hilo.

Barabara kutoka Lafey kwenda Wajir ilifungwa na Serikali mnamo Desemba 2014 baada ya wanamgambo wa Al Shabaab kuwaua raia 28 waliokuwa wakisafiri kwenda Nairobi. Wengi wao walikuwa walimu waliokuwa wakienda manyumbani kwa likizo ya mwisho wa mwaka.

Maafisa wa usalama wa eneo hilo sasa wanawashauri wenye magari, hasa ya uchukuzi, kutumia barabara ya Rhamu kwenda Wajir ambayo iko mbali na mpaka wa Somalia.

Wakati huo huo, mabasi ya uchukuzi wa abiria kutoka Mandera yamesitisha safari za kwenda Nairobi katika kipindi cha wiki moja iliyopita wasimamizi wakihofia hali mbaya ya usalama katika kaunti ndogo ya Elwak. Mashambulio kadha ya kigaidi yamekuwa yakishuhudiwa katika eneo hili.
 
Mambo kenya magumu
Kunawatu hata kwenda kuchota maji wanaogopa
Hahaha na bado
 
Muda mwingine emb tuweke ule ushindan pemben siamin alieleta hii habar aliweka kwa ajili hiyo, hili swala la ugaid ni hatar sana hasa kwa mtu kama ww unaejiona uko salama wakat mpk sasa nimeshaona clip nyingi sana wakijisifia kwamba wapo Tanga na wanazid kualika wenzao.
Tuombe Mungu tu sababu usalama hapa bongo ni mdogo mno,kama juzi tu niliona breaking news majambaz yameteka kijj kwa masaa matatu bila polisi kufika na wakaiba milion 3 we unafikir kuna cha kujipa moyo hapo?? Swala la ugaid sio la kuchekana mkuu kama tu nchi zilizoendela zinazotumia teknolojia kubwa kwenye usalama lakin still wako na haya matatizo itakuwa nchi zetu iz za kiafrica!!!??
 
Al Shabaab wamevamia kituo cha polisi kilichopo mji wa Wajir, Kaskazini Mashariki mwa Kenya, wamemjeruhi askari kisha kupora silaha na sare za polisi
Poleni +254s
These alshabaabs are the sharpest pain in your ass!!
 
Hayo umeyasema wewe
Wenzie Sifa ziliwaponza.
Likinikuta sawa ntakula na nduguzangu
Likimkuta mkenya atalila na nduguzo

Wakenya wachache JF ni vibogoyo vilivyo tekwa na kitu sifa
Sifa imewatawala wakati hawana lolote la maana.
Wacha wakione kwanza naona kama bado sana
 
Ungeanzisha uzi kwa hili badala kuonekana kama upo kwenye ushindani wa kutafuta matukio kama hayo.
Ugaidi wa kidini ni pain kwa dunia yote, leo hii kuna watu wanaendelea kufa, hata sasa hivi tunavyozungumza.
 
Muda mwingine emb tuweke ule ushindan pemben siamin alieleta hii habar aliweka kwa ajili hiyo, hili swala la ugaid ni hatar sana hasa kwa mtu kama ww unaejiona uko salama wakat mpk sasa nimeshaona clip nyingi sana wakijisifia kwamba wapo Tanga na wanazid kualika wenzao.
Tuombe Mungu tu sababu usalama hapa bongo ni mdogo mno,kama juzi tu niliona breaking news majambaz yameteka kijj kwa masaa matatu bila polisi kufika na wakaiba milion 3 we unafikir kuna cha kujipa moyo hapo?? Swala la ugaid sio la kuchekana mkuu kama tu nchi zilizoendela zinazotumia teknolojia kubwa kwenye usalama lakin still wako na haya matatizo itakuwa nchi zetu iz za kiafrica!!!??

Asante..
 
Hayo umeyasema wewe
Wenzie Sifa ziliwaponza.
Likinikuta sawa ntakula na nduguzangu
Likimkuta mkenya atalila na nduguzo

Wakenya wachache JF ni vibogoyo vilivyo tekwa na kitu sifa
Sifa imewatawala wakati hawana lolote la maana.
Wacha wakione kwanza naona kama bado sana
sijaskia kamwe wakenya wakijisifia ugaidi aisee haya yanatoka wapi au chuki tuu
 
Very likely. I was reading somewhere that one of the reasons Oromos are rebelling in Ethiopia is because they feel they dont have freedom like their brothers and sisters in Kenya. And actually a huge number of illegal Ethiopians who are arrested in Kenya are actually Oromos.
 
Mambo kenya magumu
Kunawatu hata kwenda kuchota maji wanaogopa
Hahaha na bado

Akili ndogo ama nini??? Mtu anaweka breaking news wewe unaleta habari za July 2016, akili iko sawa???

Capture.JPG
 
Al Shabaab wamevamia kituo cha polisi kilichopo mji wa Wajir, Kaskazini Mashariki mwa Kenya, wamemjeruhi askari kisha kupora silaha na sare za polisi
Poleni +254s
These alshabaabs are the sharpest pain in your ass!!

Huwa mnatamani Kenya iwe haina amani ndio mtufikie, Hamna bahati, huku tumejikita katika kustawisha Usalama!!

Kenya developing remote border monitoring with the newly acquired drones bought from the USA, Enhance forensics, and enhanced surveillance. We never stop
8 Scan Eagle delivered to Kenya
ob_f52fcc_insitu-systems-marquee-scaneagle.jpg

Kenya Forensic and Bomb Center, Nairobi
s.JPG

Kenya police Command center
COmgHljUEAArOh4.jpg

CCTV-COMMAND-CENTRE.jpg

More is to come, so kaka zetu wa Bongo, matumaini yenu kuwa Kenya itafeli kwa usalama, dua zenu kama za kuku hazimpati mwewe.

Mnaleta habari za kitambo kutuliza jazba zenu!!
 
Wewe mpuzi kweli
Unakimbilia kwajirani wakati ndani ya nyumbayako nako kunamoto

Jana kuna Wanaume walifanya yao kenya mbona umechuna!!!

Mwanamke auawa, 3 wajeruhiwa na Al Shabaab Mandera

MWANAMKE aliuawa kwa kupigwa risasi huku watu wengine watatu wakijeruhiwa katika shambulio lililotekelezwa na wafuasi wa kundi la kigaidi la Al Shabaab katika miji ya Lafey na Mandera.

Shambulio hilo, lililotekelezwa mwendo wa saa moja na nusu Jumamosi, lililenga abiria waliokuwa wakisafiri kwenye basi moja kutoka mji wa Mandera wakielekea kuhudhuria hafla ya mazishi mjini Lafey.

Akiongea na wanahabari kwa njia ya simu, naibu kamishna wa Lafey Erick Ornyi alisema wanamgambo hao wapatao 20 waliokuwa na silaha hatari walichomoka kutoka msituni na kulimiminia risasi gari hilo.

Afisa huyo alisema dereva wa gari hilo alilisimamisha baada ya kupigwa risasi mguuni na mkononi.

Ornyi alisema washambuliaji hao walitoweka na mali ya waathiriwa hao wakielekea nchini Somalia.

Bw Ornyi alisema maafisa wa usalama walitumwa eneo la tukio lakini hadi kufikia jana walikuwa hawajawakamata washambuliaji hao. Waliojeruhiwa wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mandera.
Bunduki 15
Shambulio hilo lilitokea saa chache baada ya wafuasi wa Al Shabaab waliokuwa na silaha kushambulia kituo cha polisi cha Diff katika kaunti jirani ya Wajir. Walitoweka na bunduki 15 na risasi kadha.

Kufuatia msururu wa mashambulio ya Al Shabaab eneo hilo, Gavana wa Mandera Ali Roba ametoa wito kwa Serikali ya Kitaifa kupeleka Polisi wa Akiba 900 eneo hilo.

Barabara kutoka Lafey kwenda Wajir ilifungwa na Serikali mnamo Desemba 2014 baada ya wanamgambo wa Al Shabaab kuwaua raia 28 waliokuwa wakisafiri kwenda Nairobi. Wengi wao walikuwa walimu waliokuwa wakienda manyumbani kwa likizo ya mwisho wa mwaka.

Maafisa wa usalama wa eneo hilo sasa wanawashauri wenye magari, hasa ya uchukuzi, kutumia barabara ya Rhamu kwenda Wajir ambayo iko mbali na mpaka wa Somalia.

Wakati huo huo, mabasi ya uchukuzi wa abiria kutoka Mandera yamesitisha safari za kwenda Nairobi katika kipindi cha wiki moja iliyopita wasimamizi wakihofia hali mbaya ya usalama katika kaunti ndogo ya Elwak. Mashambulio kadha ya kigaidi yamekuwa yakishuhudiwa katika eneo hili.

Wewe kinguruwe cha kirundi ulitaka nikusaidie vipi.
 
Huyo jamaa ni wa kukurupuka tu, yaani utashindwa kuelewa anashida gani, we fikiria, anaenda kutafuta habari ya juni 2016, ni kama bado tuko huko!! Watanzania watu ajabu kweli, wifu ilio wazidi nadhani ndio inayofanya wavurushwe kule Msumbiji na hata Malawi
 
Madaktari.wanasemaje huko?
 
Akili ndogo ama nini??? Mtu anaweka breaking news wewe unaleta habari za July 2016, akili iko sawa???

View attachment 471435
Ulivyo Zezeta hujaangalia mimi nime comment lini!!?
d88240ff4775b29a3dd2b875399f8b87.jpg

Huyo jamaa ni wa kukurupuka tu, yaani utashindwa kuelewa anashida gani, we fikiria, anaenda kutafuta habari ya juni 2016, ni kama bado tuko huko!! Watanzania watu ajabu kweli, wifu ilio wazidi nadhani ndio inayofanya wavurushwe kule Msumbiji na hata Malawi
Ulivyo Zezeta hujaangalia mimi nime comment lini!!?
d88240ff4775b29a3dd2b875399f8b87.jpg

link hiyo niya july 2016
7ad5ec994d3797e5336cb417553418cf.jpg
Siku moja kabla ya Mpumbavu mwenzie MK254 kupost habari hii
84b3722c3c04ca8ae2252d448a800490.jpg

Jitahidi kuficha Upumbavu wako humu!!!

Story za kipumbavu na wapumbavu huwa hatupendelei
Tafuteni lingene
 
Back
Top Bottom