sweya lugendo
Member
- Dec 7, 2013
- 56
- 22
mawazo ubunge utausikia redioni tu...wana geita tumeshakugundua wewe ni tapeli
Chizi hawezi kumjua mwenye akili labda atashangaa tu kwa nini hafanani naye?
mawazo changudoa wa siasa aliewasaliti wana sombetini kwa uroho wa pesa na madaraka,...wana geita wameshamgundua mawazo ni kibaraka, tapeli na mnafiki wa hali ya juu...
Waliyo mchagua mawazo kuwa mwenyekit labda ni vichaa Kama yeye
Alafu mawazo unapost na kukoment mwenyewe shida kweli
mawazo ubunge utausikia redioni tu...wana geita tumeshakugundua wewe ni tapeli
mawazo changudoa wa siasa aliewasaliti wana sombetini kwa uroho wa pesa na madaraka,...wana geita wameshamgundua mawazo ni kibaraka, tapeli na mnafiki wa hali ya juu...
Hoja yako hapa ni ipi? Kama kawaida yenu hamuwezi kujibu hoja mnaishia kwenye mipasho na vioja. Mwenzenu Werema kaumbuka bungeni kwa kauli ya kipuuzi ya kuwabagua wazanzibari hadi kaomba akiinamisha kichwa chini kwa aibu.Una wivu wa kike ww...au si ridhiki nini?hung hata robo wa ya mafanikio yako.
changudoa ni wewe unayetumikia mabwana 2,upo mguu mmoja act na mwingine ccm shauri ya njaa! Nyambaaaaf
mawazo changudoa wa siasa aliewasaliti wana sombetini kwa uroho wa pesa na madaraka,...wana geita wameshamgundua mawazo ni kibaraka, tapeli na mnafiki wa hali ya juu...
Mkuu kila mtu kwako ni chizi na kibaraka.. embu jiangalie usikute unamatatizo ya kisaikolojia yanakusumbua una aina flani ya uchangiaji hapa kwenye jukwaa wa ajabu kidogo..mawazo changudoa wa siasa aliewasaliti wana sombetini kwa uroho wa pesa na madaraka,...wana geita wameshamgundua mawazo ni kibaraka, tapeli na mnafiki wa hali ya juu...
hivi wewe ni nani anakulinda humu jf ?
Mkuu kila mtu kwako ni chizi na kibaraka.. embu jiangalie usikute unamatatizo ya kisaikolojia yanakusumbua una aina flani ya uchangiaji hapa kwenye jukwaa wa ajabu kidogo..
Una wivu wa kike ww...au si ridhiki nini?hung hata robo wa ya mafanikio yako.