VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Siyo vizuri kabisa yaani. Mgombea wa Ubunge wa CHADEMA/UKAWA Jimbo la Busanda, Alphonce Mawazo anachachafya CCM mkoani Geita na hata kumshtua/kumtisha Dr. Magufuli anayetokea mkoa huo. Taarifa nilizonazo ni kuwa Mawazo anatamba mkoa mzima wa Geita. Anasingizia kuwa kwakuwa yeye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Geita anapaswa kutamba mkoa mzima ili kuzoa majimbo yote ya Geita.
Si vyema kabisa. Dr. Magufuli anapata wasiwasi wa kasi na kukosa utulivu. Anashambuliwa nyumbani kwake. Ashindwe mkoani mwake kweli!? Anabanwa mbavu hata jimboni mwake na huyu Mawazo wa CHADEMA. Mawazo, kumbuka ulikuwa CCM. CCM ilikulea na hata kukupa Udiwani kule Arusha. Mbona hukumbuki kulipa fadhila? Ndiyo shukrani ya punda hiyo? Wewe ungetulia tu jimboni mwako Busanda na kujipigia kampeni. Ingetosha. Si kutetemesha na kutisha. Majimbo mengine waachie wenyewe.
'Kamanda' Mawazo, punguza sifa. Au nije? Tupe nafasi ya kula nanasi bwana!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

VUTA-NKUVUTE nyinyi si chama kubwa?
Kujikita vijijini kwa muda mrefu kwa alphonce mawazo kumeleta ukombozi geita , ushawishi wake ni wa kiwango cha mitume .Mawazo ni sawa na wabunge wote pamoja na NEC ya CCM akiwemo JK na Salma Jabir ndipo wanaweza kufikia robo ya ubongo wake. Kwa kifupi anaushawishi kiasi kwamba akihutubia dakika 30 unamsikiliza unaweza kujitoa mhanga kama ikibidi ufanye hivyo. Nilimsikiliza Kakola nilitamani nikauchome moto mgondi kwa hasira.
Asante kwa picha .
Kujikita vijijini kwa muda mrefu kwa alphonce mawazo kumeleta ukombozi geita , ushawishi wake ni wa kiwango cha mitume .
Amini usiamini CHADEMA bado hawajamtumia inavyotakiwa kuzipata kura za mgombea uraisi. Huyu jamaa hakuna anayeweza kumfikia hata Mbowe hawezi kumfikia. Naomba Lowassa akija Mwanza wampe mic waone.
Siyo vizuri kabisa yaani. Mgombea wa Ubunge wa CHADEMA/UKAWA Jimbo la Busanda, Alphonce Mawazo anachachafya CCM mkoani Geita na hata kumshtua/kumtisha Dr. Magufuli anayetokea mkoa huo. Taarifa nilizonazo ni kuwa Mawazo anatamba mkoa mzima wa Geita. Anasingizia kuwa kwakuwa yeye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Geita anapaswa kutamba mkoa mzima ili kuzoa majimbo yote ya Geita.
Si vyema kabisa. Dr. Magufuli anapata wasiwasi wa kasi na kukosa utulivu. Anashambuliwa nyumbani kwake. Ashindwe mkoani mwake kweli!? Anabanwa mbavu hata jimboni mwake na huyu Mawazo wa CHADEMA. Mawazo, kumbuka ulikuwa CCM. CCM ilikulea na hata kukupa Udiwani kule Arusha. Mbona hukumbuki kulipa fadhila? Ndiyo shukrani ya punda hiyo? Wewe ungetulia tu jimboni mwako Busanda na kujipigia kampeni. Ingetosha. Si kutetemesha na kutisha. Majimbo mengine waachie wenyewe.
'Kamanda' Mawazo, punguza sifa. Au nije? Tupe nafasi ya kula nanasi bwana!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Na wewe unaishi Tanzania hii?Magufuli anatoka jimbo la chato,mkoa wa kagera,sio geita.
Na wewe unaishi Tanzania hii?
Chato iko mkoa mpya wa Geita!
Ok.before that ilikua kagera.