naomba kuuliza alfa gemz wamesha anza udahili wa watahiniwa wa kidato cha 5 kwa muhula wa masomo wa 2019/2020?
na je, ada yao kwa mwaka huu ni sh. ngapi???
na je, wana dahili wanafunzi wa comb za EGM?
Unaikosea kabisa hii shule.Inaitwa Alfagems Secondary School ipo Morogoro NaneNane. Ada kwa mwaka ni Milioni moja wakati namaliza kidato cha sita ndo ilikuwa hivyo.Ni shule makini sana pale kupata division One na Two ni jambo la kawaida kama utakuwa makini