Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,626
Unapozungumzia 'kutafuta' unamaanishaje? Af kumbuka mi wa kike sijui natafutaje. Mimi ninachojua mtu unatakiwa ufurahie mahali ulipo....kama ukimpata wa ukweli ni amina lakini huku 'kutafuta ' ndiko kunawaponza wengi na kujikuta unaishia kwenye mahusiano ya ovyo
kweli nilitafuta sana ila baada ya kuöna kila nnaempata mzinguaji leo nimeona bora niwe alone wakuu
Keep on waiting mumy naona yupo busy kweli
am very very happy!
Naona tumepishana kidogo KUTAFUTA-Nilikuwa na maanisha kuwa mleta thread amtafute mtu ambaye anajua atakuwa mtu sahihi kwakwe na kupata mapenzi ya kweli na kuyafurahia na sikuwa na maanisha kua wewe ndo uatafute, hope ushanielewa mumy
to be selfish

What about those who are alone but unhappy?
Inatokea my dia....unaweza ukawa ulipenda kuwa na mahusiano lakini kila ukiingia kwenye mahusiano unajikuta unaumia tu....ni bora ubaki mwenyewe uwe na furaha
Wewe sindie uliletaga thread hapa kuwa watafuta manzii imekuaje ujampata bado?
Maana naona alone but happy hayo yote nibaada ya kusearch weeeeeee na kumkosaeeee!!
Cc miss chagga my mutani njoo huku haraka sana Khantwe na wewe tupiamo jicho hapa faster kama google
let them come to me!
Mmh wee ni binadam gani
hahahaha SAWA BUANA