Alone but happy

Inatokea my dia....unaweza ukawa ulipenda kuwa na mahusiano lakini kila ukiingia kwenye mahusiano unajikuta unaumia tu....ni bora ubaki mwenyewe uwe na furaha
 
Last edited by a moderator:
But alone atakua ivyo mpaka lini mpenzi?
Itafika tena wakati atataka tena kuwa katika mausiano,na kumbuka solution sio kulikimbia tatizo ispokuwa kulitatua anatakiwa atafute aliye sahihi kwake!
Inatokea my dia....unaweza ukawa ulipenda kuwa na mahusiano lakini kila ukiingia kwenye mahusiano unajikuta unaumia tu....ni bora ubaki mwenyewe uwe na furaha
 
hahaha baada ya kuzunguka sasa ameamua kua happy eti
 
But alone atakua ivyo mpaka lini mpenzi?
Itafika tena wakati atataka tena kuwa katika mausiano,na kumbuka solution sio kulikimbia tatizo ispokuwa kulitatua anatakiwa atafute aliye sahihi kwake!

Unapozungumzia 'kutafuta' unamaanishaje? Af kumbuka mi wa kike sijui natafutaje. Mimi ninachojua mtu unatakiwa ufurahie mahali ulipo....kama ukimpata wa ukweli ni amina lakini huku 'kutafuta ' ndiko kunawaponza wengi na kujikuta unaishia kwenye mahusiano ya ovyo
 
kuanzia sasa unakuwa mkuu wa kitengo cha kumbukumbu na matukio (picha) humu JF MMU, vigezo vyote unavyo, naomba wenzangu waniunge mkono. pindi mtu anatuchosha na mada zake za kujichanganya basi uitwe uwaumbue kama hivi. kazi nzuri. maana watu wanaona raha kuaznisha siredi halafu wanasahau.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…