Mamboz jf...jaman naitajikusikia mawazo yenu,I have a lover na kikweli nampenda saaana.mwanzo tulikua tunaenda sambamba kihisia za mapenzi napo jihisi natamani yeye pia alionekana kutaka na tukipeana likizo ni only a week,sasa mwenzangu kabadilika anakaa ata mwezi tunalala 1bed lakini doing nothing all month,fanya kama wewe ni mimi ungemfikiliaje na ungefanya nini