brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Ndio kaswida sio mziki, kaswida ni kaswida na mziki ni mziki vitu viwili tofautiKwahiyo Kaswida sio muziki?
natamani kutia neno, ila team Domo watagoma nunua samaki zanguking[emoji146]kiba mwanamiziki yeye siyoo msanii
Mahaba yamewazidi... Wamesahau tupo kwenye nchi huru. Sijui wanashindwa nini kumpa mahaba mtu wao halafu kwa kiba wapandishe vioo maisha yasonge mbele... Kiba mwenyewe ndo kwanza yule eee...Maisha ya huyu innocent guy yanawasumbua since day one.
Mbona wasanii wapo wengi Sana halafu mnakimbilia kusema kiba ndo anatafuta kiki!!
Muulize Raymond Kati ya wcb na Kiba yupi anatafuta Kiki kwa mwingine[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mashabiki wa Kiba mnamdanganya sana Kiba , nyie endeleeni kumdanganya tuMahaba yamewazidi... Wamesahau tupo kwenye nchi huru. Sijui wanashindwa nini kumpa mahaba mtu wao halafu kwa kiba wapandishe vioo maisha yasonge mbele... Kiba mwenyewe ndo kwanza yule eee...
Mashabiki wa Kiba mnamdanganya sana Kiba , nyie endeleeni kumdanganya tu
Ukikiona cha nini wenzako wanaumiza kichwa watakipataje!? Hata hivyo kama kuna mahakama ya kuwashkati mashabiki wake twende mkuu ukatufungulie kesi upate haki yako kabisaa kijiba chako kitulieMashabiki wa Kiba mnamdanganya sana Kiba , nyie endeleeni kumdanganya tu