Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,453
- 46,232
Upuuzi mtupu, sio kila kitu kijibiwe, angekaa kimya ingekuwa vema zaidi maana halina hasara yoyote kwa klabu yake."Eti Tunapendelewa?
Sisi Tulishaanza mchakato wetu wa safari mapema. Zaidi ya Mashabiki 30 walishalipia 600,000 zao za safari .. Uongozi ukaona kuna Fursa ya kuishirikisha Serikali kusaidia kidogo mashabiki wetu kwenye accommodation.."
"Bahati nzuri, Mungu ametujaalia Serikali yenye viongozi wenye upendo. Wakapokea ombi letu, wakapitia bajeti yetu.. Na kwa maslahi mapana ya Nchi, Wakaibeba Safari ya Mashabiki wetu."
"Kwa mkurupuko mkubwa.. Kwa hoja za kitoto kabisa, wameibuka na kudai Eti na wao wasafirishwe na Serikali kama Yanga
Hii inatafsiri katika mipango yao, hawakuwawaza mashabiki wao kwa Lolote kwenye hii safari. Walishawatelekeza.."
"Hakukuwa na Plan Yoyote kuhusu wao lla kwa sababu Yanga wamewaza na Jambo Limefanyika .. Basi nao kipele kikawawasha."
"Mkome ! Hamko Levo zetu na Hamtakaa mfike. Uzembe wenu msitake kuwabebesha lawama viongozi wetu wa Serikali ambao kwa kipindi cha miaka hii miwili wamekuwa Bega kwa Bega kuhakikisha wanasaidia maendeleo ya Sekta yetu ya Michezo.."
[emoji2399] Ally Kamwe
Afisa habari wa Yanga SC
Acheni kuiga kuweni wabunifu.Upuuzi mtupu, sio kila kitu kijibiwe, angekaa kimya ingekuwa vema zaidi maana halina hasara yoyote kwa klabu yake.
Vv
Mipasho kama dada Mwajuma.."Mkome !"
©️ Ally Kamwe
Afisa habari wa Yanga SC
Mkuu Frank Wanjiru na wewe umeambatana na hao 29 kwenda Pretoria kushuhudia uzinduzi wa Mwakarobo jr?"Eti Tunapendelewa?
Sisi Tulishaanza mchakato wetu wa safari mapema. Zaidi ya Mashabiki 30 walishalipia 600,000 zao za safari
Unchekesha mkuu, huyo unamuona hata hela ya kununua hata jezi anayo,,achilia mbali kutoa pesa kusafiri nje ya nchi?? [emoji23]Mkuu Frank Wanjiru na wewe umeambatana na hao 29 kwenda Pretoria kushuhudia uzinduzi wa Mwakarobo jr?
bora amejibu maana angekaa nalo moyon angezimia bure mwisho afeUpuuzi mtupu, sio kila kitu kijibiwe, angekaa kimya ingekuwa vema zaidi maana halina hasara yoyote kwa klabu yake.
Vv
Kuliko yule anayeongea kwa mashauzi na kubinuka binuka?Mipasho kama dada Mwajuma..
Naunga mkono hojaAcheni kuiga kuweni wabunifu.