Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,034
- 6,900
🤔🤔🤔💭Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi CCM, Ally Hapi amesema ripoti ya CAG sio hukumu ya Mahakama kwamba wanaotajwa wote moja kwa moja huwa ni Mafisadi au Wezi bali ripoti husomwa kisha kuwapa nafasi Watumishi na Taasisi kutoa vielelezo ambavyo havikuwasilishwa wakati wa ukaguzi.
Akiongea leo June 22,2025 wakati wa mjadala wa Cafe Talk, Ally Hapi amesema “Kwanza taarifa ya CAG Watu wengi wakisikia inasoma wanadhani ni hukumu ya Mahakama kwamba wafuatao sasa wamekutwa na wizi na ufisadi hapana”
“CAG anakagua, akishakagua kule kuna Watu wanaambiwa lete risiti na vielezo ukichelewa yeye anaandika fedha hizi vielelezo vyake havikupatikana ndio maana ripoti anaikabidhi kwa Rais na inapelekwa Bungeni ili kuzipa Taasisi zilizotajwa na mapungu kuclear mapungufu ndio maana sisi tuliokaa Serikalini kuna kitu kinaitwa kufanyia kazi hoja za CAG”
Huwezi elewa kama haujui principles za auditKwahiyo CAG anawaambia hapa mlipoiba nendeni mkatengeneze vielelezo ili muonekane hamkuiba.?
Kama walinunua kwanini hawakupewa risiti hadi waambie katafuteni risiti?
Mkuu wake keshasema wale kwa urefu wa kamba yao yeye anasahihisha nini?
Kuna formers auditors humu, yes report ya cag si direct to hukumu lakin at certain condition na vipengele fulan vinaweza tumika kama vielelezo or ushahid collectiveHuwezi elewa kama haujui principles za audit
Kazi nzuri sanaKatibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi CCM, Ally Hapi amesema ripoti ya CAG sio hukumu ya Mahakama kwamba wanaotajwa wote moja kwa moja huwa ni Mafisadi au Wezi bali ripoti husomwa kisha kuwapa nafasi Watumishi na Taasisi kutoa vielelezo ambavyo havikuwasilishwa wakati wa ukaguzi.
Akiongea leo June 22,2025 wakati wa mjadala wa Cafe Talk, Ally Hapi amesema “Kwanza taarifa ya CAG Watu wengi wakisikia inasoma wanadhani ni hukumu ya Mahakama kwamba wafuatao sasa wamekutwa na wizi na ufisadi hapana”
“CAG anakagua, akishakagua kule kuna Watu wanaambiwa lete risiti na vielezo ukichelewa yeye anaandika fedha hizi vielelezo vyake havikupatikana ndio maana ripoti anaikabidhi kwa Rais na inapelekwa Bungeni ili kuzipa Taasisi zilizotajwa na mapungu kuclear mapungufu ndio maana sisi tuliokaa Serikalini kuna kitu kinaitwa kufanyia kazi hoja za CAG”
Hapana, anavyosema ndiyo iko hivyo. Yaani zaidi ya 98% ya CAG recommendation ni compliance, in fact wizi ni sehemu ndogo sana. In fact Tanzania hatujafikia ufisadi kama wa Kenya au Uganda. Tuna mifumo mizuri. Hakuna anayeweza kula hela ya mradiKwa lugha nyepesi anahalalisha ufisadi
Islamic countries unazozijua wewe ambazo ni poor ni zipi!ndiyo maana muslim countries are poor and backward kwa maana hawaeelewi maana ya uchumi na jinsi ya kuendesha na kujenga nchi, sasa hivi wanafanya systematic destruction ya kila kitu, institutions ambazo ziliwekwa kwa makusudi zitusaidie wanazi question kwamba hazina maana na kuzibomoa …
Kwa maana nyingine amei dogosha ofisi ya CAG.Je huu ndio mtazamo wa ccm juu ya CAG,au ndio mtazamo wa serikali juu ya CAG?If so kama nchi tumeisha sasa naelewa kwa nini hata repoti yake haichukuliwi hatua stahiki.Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi CCM, Ally Hapi amesema ripoti ya CAG sio hukumu ya Mahakama kwamba wanaotajwa wote moja kwa moja huwa ni Mafisadi au Wezi bali ripoti husomwa kisha kuwapa nafasi Watumishi na Taasisi kutoa vielelezo ambavyo havikuwasilishwa wakati wa ukaguzi.
Akiongea leo June 22,2025 wakati wa mjadala wa Cafe Talk, Ally Hapi amesema “Kwanza taarifa ya CAG Watu wengi wakisikia inasoma wanadhani ni hukumu ya Mahakama kwamba wafuatao sasa wamekutwa na wizi na ufisadi hapana”
“CAG anakagua, akishakagua kule kuna Watu wanaambiwa lete risiti na vielezo ukichelewa yeye anaandika fedha hizi vielelezo vyake havikupatikana ndio maana ripoti anaikabidhi kwa Rais na inapelekwa Bungeni ili kuzipa Taasisi zilizotajwa na mapungu kuclear mapungufu ndio maana sisi tuliokaa Serikalini kuna kitu kinaitwa kufanyia kazi hoja za CAG”
Hawa ndiyo think tank ya CCM, pumbavu snMuda mwingine watu kama hawa wasipewe airtime
Umeshawahi kufanya kazi sehemu yeyote private sector au serikalini?Kwahiyo CAG anawaambia hapa mlipoiba nendeni mkatengeneze vielelezo ili muonekane hamkuiba.?
Kama walinunua kwanini hawakupewa risiti hadi waambie katafuteni risiti?
Mkuu wake keshasema wale kwa urefu wa kamba yao yeye anasahihisha nini?