Sehemu nyingi zenye umaskini wa kutupwa ndivyo hivyo. Hili ni suala la kisaikolojia. Umeshaona jinsi inapotokea ajali watu wanakimbilia kupiga picha kama ni jambo zuri? Imekuwa pia kawaida watu kudai picha za majeruhi au wafu wanaposoma kuhusu ajali au mikasa.