Ally bananga ndani ya manyoni

Ally bananga ndani ya manyoni

Joined
Dec 16, 2012
Posts
49
Reaction score
8
Kamanda Bananga akiwahutubu wakazi wa Manyoni asema watanzania wa kawaida ni sawa na Kuku wa kiyenyeji mbele ya CCM. Kuku wa kienyeji thamani yao ni pale afikapo mgeni au anapofurahi mfugaji, na hapo huwa kifo kwa Kuku. Hivyo tuikatee CCM.

Aliendelea kusema Nyerere aliacha mambo mengi lakini viongozi wa sasa yote waneacha kuyaendeleza kwa manufaa yao, kasoro moja tu la Mwenge ambalo halina maana...bravo kamanda
 
Ally banaga nikamanda wa ukweli...huko alipoweka kambi ndo M4c inatakiwa kupamba moto...mana ccm wamewatumia sana hao watu wa singida kamamtaji wao wa kura...bila kuwalettea maendeleo hata kiduchu...hata kuwaletea maji watu wa singida ccm wameshidwa....
 
kamanda bananga akiwahutubu wakazi wa manyoni.asema watanzania wa kawaida ni sawa na kuku wa kiyenyeji mbele ya ccm.kuku wa kienyeji thamani yao ni pale afikapo mgeni au anapofurahi mfugaji.na hapo huwa kifo kwa kuku.hivyo tuikatee ccm.aliendelea kusema nyerere aliacha mambo mengi lakini viongozi wa sasa yote waneacha kuyaendeleza kwa manufaa yao.kasoro moja tu la mwenge ambala halina maana...bravo kamanda
hakuna mtu anayemjua huyo! Anatafuta umaarufu kwa nguvu. What a waste!
 
hakuna mtu anayemjua huyo! Anatafuta umaarufu kwa nguvu. What a waste!

It is not a waste. A really fighter never loses hope. Big up bwana Ally.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Chadema ongezeni kikosi cha m4c huko, singida ccm wameiteka kwa sababu ya umasikini uliokithiri, si mnajua mtaji wa ccm ni umasikini wa watanzania?
 
Bananga masalia ya ccm alikuwa aruhusiwi hata kushika mic ndio chedema wanaona ni mali hahhahahaha
 
hakuna mtu anayemjua huyo! Anatafuta umaarufu kwa nguvu. What a waste!

Sasa kama hawamjui afanyaje ili wamjue? Ukiwa mvivu sana wa kufikiri unaweza jikuta unatafuta ufunguo wa gari hali unao mkononi
 
Big up kamanda tunataka m4c ielekeze nguvu zote huko ili kuwekeza kwa wapiga kura wengi kwani asilimia kubwa ni watu wa vijijini.
 
Huyu si ndio alileta hasara kulr Iramba chadema ikapata SIFURI...

Hatimaye matokeo kamili ya uchaguzi wa vijiji na vitongoji uliofanyika wilayani Iramba yametangazwa.

Katika uchaguzi huo CHADEMA kwa mara ya kwanza ndiyo kimesimamisha wagombea karibia katika nafasi zote.

Matokeo rasmi yanaonyesha kwamba CHADEMA kwa mara ya kwanza kimeweza kupata vitongoji 2 na wajumbe wa Halmashauri za vijiji 40.Ikumbukwe kabla ya uchaguzi huu vitongoji vyote na wajumbe wote wa halmashauri za vijiji walikuwa CCM.

Pamoja na kwamba CCM iliweza kurejesha viti vya uenyekiti 8 bado wenyeviti hao wataongoza vijiji hivyo kwa mchanganyiko wa wajumbe wa CCM na CHADEMA ambapo kabla ya hapo hakukuwa na mjumbe hata mmoja wa CHADEMA.

Matokeo haya ya CHADEMA yamechangiwa na kazi kubwa iliyofanywa na Kiongozi wa kampeni Kamanda Ally Bananga.
 
Back
Top Bottom