Queen lizy
Member
- Aug 28, 2017
- 24
- 6
Jaman naomba mnijuze tena, mimi ni mwanachuo mwaka wa 2, mpaka Sasa sijasaini hela ya kujikimu (boom) so katika ufatiliaji Kwa loan officer pamoja na waziri wake, wakasema allocation zimekuja Kwa hiyo uhakika wa kusaini sheet ikishafika upo, Sasa swali langu ni kuwa je ni kweli kuna uhusiano wa allocation na uhakika wa kuingiziwa pesa sheet ikishafika? Au walikuwa wanatupoza tuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app