Alliens kuivamia dunia?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,000
Reaction score
828,757
#HABARI wanasayansi wanasema viumbe aina ya Aliens vinakuja kuivamia Dunia mwezi novemba mwaka huu 2025.

Kupitia ripoti iliyotolewa na Cbs news , wanasayansi kutoka Harvard wanasema Kuna viumbe aina ya Aliens vinakuja kwenye huu ulimwengu wa Dunia mwaka huu 2025,
Profesa Avi loeb alisema Kuna dalili za wazi wazi kuwa tunatembelewa na wageni kutoka comet โ˜„๏ธ kupitia chombo aina ya 3I/ATLAS.

Chombo hicho kinakuja Kwa Kasi ya ajabu ya maili 130,000 kwa saa kuelekea kwenye mfumo wetu wa jua, hivyo ilipelekea kuzua mjadala mkubwa Kati ya wanaanga na wanasayansi.

Kwa mara ya kwanza kiliweza kugundulika tarehe 1 Julai 2025, ni kifaa chenye muonekano kama nyota ambapo kinatoka nje ya mfumo wetu wa jua na kinakuja kwetu. Ukubwa wa chombo hicho kinakadaliwa ni kikubwa kuliko Mji wa Manhattan wa marekani ambapo kinakarabia kuikaribia Dunia Yetu mwisho wa mwezi novemba 2025.

#IsharaUpdates
 
Tunawasubiri tuwapokee kwa mikono miwili
 
Habari za kuokoteza oko teza
 
Hii habari siyo nzuri. Watakuja kubebesha madem zetu mimba mitoto ya ajabu ajabu kuzaliwa halafu kuwe na competition ya Ugali.

Mzungu aepushe aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ