Alliance francaise

Leomimi

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
2,547
Reaction score
878
Wapendwa najiona kama nipo mbele hapa burudani za maana pafume za ukweli sema wazungu wa kumwaga live inaendelea lkn mamba ni wengi nadhani nikisema mamba wanaojua wanatambua wapo hapa kwa ajili gani karibuni wote raha tupu isee.
 
Nenda washroom ukajitapishe kwanza, uje kupost kinachoeleweka.
 
Leomimi kuna nini chaendelea, kama sijakuelewa vyema.
 
Last edited by a moderator:
ama kweli leo ni wewe!

week ends zina mambo sana kwa wenye mambo!
 
Hata wewe unaweza kuandika utumbo hivi me sijalewa isee naenjoy tu hapa na live band tofauti za ukweli
Nenda washroom ukajitapishe kwanza, uje kupost kinachoeleweka.
 
biashara matangazoo...haya wale wapenda ngoziii nyeupee kazii kwenuu...umesomeka bi dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…