GE2025 Alliance for Democratic Change (ADC): Polisi wanatutesa sana kwenye chaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Your browser is not able to display this video.

Akizungumza katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa leo Agosti 18, 2025 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu amelalamikia kile alichodai ni unyanyasaji wa Polisi dhidi ya wagombea wa upinzani wakati wa kampeni, akisema baadhi yao hukamatwa bila sababu za msingi.

“Polisi wamekuwa wakitusumbua kwenye kampeni. Wakiona mgombea ambaye hatokani na dola, mara moja anakamatwa. Tulishaomba hata kwenye mikutano kama hii na wao wawepo ili wajifunze kuwa kazi yao si kuwatisha wanasiasa,” ameongeza.
 
Yeah taratibu ila tutafika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…