thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,458
- 1,436
kwenye utawala wa jk Udom ililazimisha walitakiwa walipe wenyewe ada zao badala ya kikataa kisign kulipiwa na helb....hili lipojeIla kama unachochote just ask nitakujibu mkuu
Hebu weka hiyo sms yako vizuri then nitakujibu maana hata haielewekikwenye utawala wa jk Udom ililazimisha walitakiwa walipe wenyewe ada zao badala ya kikataa kisign kulipiwa na helb....hili lipoje
Jamani mbona sioni waliochaguliwa Bsc.nursing batch 2?.....hizi post zenu za chuo tumezichoka
Angalia vizuri hiyo attachment nyingine kwenye link ya second batch katika website ya udom.Jamani mbona sioni waliochaguliwa Bsc.nursing batch 2?