All the best Taifa Stars

If you decide, you still can!

Unawaza nini?? Share nasi hapa maana wengine wanazo direct contacts na baadhi ya wachezaji, you never know unachokiwaza kinaeza kikafikishwa na ukawa umelisaidia taifa
ahaaaa anyway sikupendezwa na formation walioitumia dhidi ya Senegal, nachojua formation inabadilika kutokana mpinzani wako.

Mpira kama ule ambapo una wachezaji wazoefu nilitegemea atumie 4, 2, yaan mbele wa 4 badala yake walicheza mbele wa 2.
Ndio maana samatta hakuonekana , mpira ukija watu hawapo hawapo which means kuna watu hawatimizi majukumu yao.

Kama uliona match ya Qatar vs Argentina, wale waarabu waliwaendesha akina mess speed ya ajabu sana. Mpira ulichezwa ktkt mwanzo mwisho, maana yake probability ni kubwa mpira kwenda lango zote, Argentina walishinda kwa taabu sana ( f, 2,3,2)

Afu kuacha watu wazoefu akamchukua fei, na akashindwa kumtoa mapema sana sikupenda.

Anyway mi sijui mpira ki viile, hope leo tutapata raha.
 
Yaani unapendekeza formation gani?? 4-2-4 au???
Halafu hiyo Qatar vs Argentina ndio walicheza (f, 2,3,2) mimi mwenzako mgumu kuelewa
 
Nyie wanawake mnaofuatiliaga mpira ni pasua k8chwa sana
 
Nyie wanawake mnaofuatiliaga mpira ni pasua k8chwa sana
Kila mtu ana sehemu ya starehe, yake, sinywi pombe, siendi club, sinaga time kutoka kwangu ovyo, sasa wataka nifanye nn kama sio Mpira na movie?

BTW we live once mkuu.
 
Kwa kiwango tunachocheza watz sidhani kama tunafika mbali labda tubebwe, utadhani ni chekechea wako uwanjani
 
leo ushindi wa Tz sio kwa maombi haya...Amini kwamba wanao iombea mema Timu yetu ni wengi kuliko hao wasio jielewa...Si unajua siku zote wengi wape?

Amini hivyo..leo ushindi wetu
 
Hapana ni watu kuonyesha chuki zao kwa huyu nduli, dikteta na MUUAJI kwa maovu yake mbali mbali yanayoivuruga nchi. Haijawahi kutokea Watanzania waombee timu hii ifungwe na timu yoyote ile.

Nimegundua watanzania tuna usakatriki kidogo
 
Kutarajia kuvuna kitu ambacho hukupanda ni upuuzi
 
Hapana ni watu kuonyesha chuki zao kwa huyu nduli, dikteta na MUUAJI kwa maovu yake mbali mbali yanayoivuruga nchi. Haijawahi kutokea Watanzania waombee timu hii ifungwe na timu yoyote ile.

Imefikia mahala tunachukia kila kilicho chetu....Wala haisaidii

Kama Ni kumchukia achukiwe yeye

Yaani tumekuwa tunaombea mabaya kila kitu wakati hivyo Ni kwaajili yetu.

Yaani tubajiombea njaa sisi wenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…