All of us are Dead

All of us are Dead

Ni nzuri kama ni mpenz wa movie za aina hiyo.
Ina makitu mengi sana hasa ubinafsi wa sisi binadamu linapotokea tatizo, wengi wetu tunapenda tujiokoe sie na wapendwa wetu tu wengine acha wafe.

Nimeipenda story yake iko tofauti sana na movie nyingi za mazombie.
 
Wakorea nilikua siwapendi ila baada ya kuona hizi movie huniambii kitu...
1. squid Game
2. Silent ocean
3. Old days
4. All of us are dead

Nimewavulia kofia yaani sahivi wakitoa movie inakua ndo story ya dunia...
Unyama sana mwaisa.
 
Kaicheki na parasite nayo ni kali kinoma.
 
Happiness niliipenda hadi nikasahau kitufe cha kupeleka mbele. Hii inayotajwa hapa nimeshaivuta yote bado kuiangalia
Nilitaka niitafute ila kama iko kama happiness hapana kwa kweli
 
Inawezekana sio aina ya movie unazozipenda
Wakorea wana vitu flani hivi ambavyo sio halisia, imagine wale watoto wamekaa three days bila kunywa maji wala kula ila wanachowaza ni ku poop ,
Scene ikawa ndefu wanazungumzia mambo ya ku poop tu,

Ile scene ya pale ghorofani kati ya yule kijana bully aliyetolewa jicho alipokua ana fight na Changsheon wenzake hawakutetea hadi anang'atwa yaan walisimama wanaangalia mwenzao anadhuriwa wakati wamepambana na Zombies kibao kwanini pale wasimsaidie hasa wale wa mikuki na yule binti half human,

Yule baba wa yule binti wala sikuona sababu ya yeye kufa, zile baruti zilikua tayari zishawapumbaza Zombies ilikua ni yeye kuondoka na watoto matokea yake akajizungusha zungusha wee hadi akang'atwa,

Btw; Niliimalizia sababu nilikua nisha download zote
 
Yap umeongea ukweli kabisa hata mi ckuona sababu ya yule baba kung'atwa although pale gorofani madogo walishindwa kumsaidia mwenzake nazani sababu ya uchovu hata prezi yule half zombie alikua na njaa sana hadi akawa anajing'ata nazani aliona hana nguvu
 
Happiness niliipenda hadi nikasahau kitufe cha kupeleka mbele. Hii inayotajwa hapa nimeshaivuta yote bado kuiangalia
Khaa kweli tunatofautiana, inaonekana unapenda picha za kutisha
 
Kwa wakorea tu ndo napenda sinema zao za hivyo na zile za mizimu. ukiona behind the scene utacheka na hautaogopa tena

Back
Top Bottom