All of us are Dead

All of us are Dead

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
561
Binafsi mimi ni mpenzi wa movie zikiwemo za kikorea kuna hiki chuma kibaitwa All of us are Dead kama uliona Train to bunsan basi hii ni yamoto nayo Ok.

Mr lee ni mwalimu wa sayansi wa shule ya hyosan high school anatengeneza kemikali ambayo anaamini itamfanya mtu dhaifu 7 kuwa nguvu zaidi kwasababu mwanaye shuleni anaonewa sana matokeo yake inabadilika kuwa virusi na kumfanya mtu kuwa predator ( zombie) mr lee anamdunga mwanaye sindani jinsui pamoja na panya mdogo lakini matoka they turn into zombie

Panya huyo alikuwa amefichwa chumba cha maabara cha shule anayofundisha bwana lee siku moja mwanafunzi kim hyeon alikuwa anafanya usafi maabara akisikia mlio kitu ikabidi akakuta cage(kibanda cha chuma) ndogo imefunikwa akafunua akakutana na panya akaanza kumchezea panya ghafla panya akabadilika na kumngata kidoleni.

Kesho Yake Kim hyeon haonekani darasani wala shulen Kim hyeon akaanza kutafutwa balaa likaanza hapa

Itafuta hii series iMzigi una episode 12 hapa kuna mambo mengi sana humu itakuacha na taharuki

rate 8/10

#Djwalete

Nawasilisha
 
Wanaongea kiingereza au..mana kinachonichoshaga kwenye series za kikorea ni kusoma subtitles.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nimeishi S2 baada ya kuona muda mwingi Mazombi yanakoroma tu japo stori yake nzuri...niambieni huko mbele inaendeleaje.?
 
Nyingine yenye maudhui hayo inaitwa happiness na sweet home
 
Back
Top Bottom