All European newborn Babies will be Microchipped from May 2014


Nakubaliana nawe mkuu. It's just a hoax
 
Hii inawezekana kwa sababu nakumbuka miaka ya nyuma nilikuwa UK tukasikia wanataka kuwawekea chip watoto wote waliozaliwa eti kisingizio watoto wanaibiwa sana hivyo itasaidia polisi kuwakamata.Lakini wazo lilipingwa sana na baadhi ya wakosoaji wa serikali. Na wengine walifika mbali na kusema ni mpango wa serikali ili kufuatilia mtu baadae akiwa mkubwa na kuwa mhaini au mbeba unga, na uhalifu wowote ili afuatiliwe.
Kama wameamua sasa sioni ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…