All about Edward Hosea, Mwanyika

Please.....Pinda try to be serious kidogo....yaani unataka kutuambia ndio unalijua hilo sasa hivi!!

Ogah,

Machiavelli alikwambia katika "The Prince" kwamba the prince will always find ways to shift blame to others, and take others' credit.

Kwa hiyo kikitokea kitu kibaya serikalini sishangai kuwasikia hawa mabwege wanatupiana lawama, hapo hapo kikitokea kizuri basi watajifanya wao ndio masterminds.
 

Nyani haoni kundule?
 
shachoka.....enough is enough...lini tunaingia mtaani kudai chetu..or wana jf pendekezeni njia ya kukomesha haya madudu...tusijechekwa na next generation.
 
You are not Tanzanians, You are Indians.. why did you run this country....
 
Shame on us all Tanzania. Vijana wanakosa ada,ajira hakuna na yote haya ni kwa sababu uchumi wetu umeyumba kwasababu yakukumbatia rushwa. Mim naiman hali hii haiwez kuendelea maana tutaliangamiza taifa lote. Nalia asubuh,mcha na jion atimae atainuka Rais atakaye sema Rushwa kwangu ni mwiko sitopokea wala kutoa rushwa. Ipo cku Rostam itakuwa ni hstoria, ipo siku marais wa Taifa hl watasimama vizimban maana yatosha..
 
Haya Bwana Hosea ,makaburi yatafukuliwa.
Masanilo, member wa JF siku nyingi aliwahi kusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…