Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 50,958 Reaction score 92,358 Nov 19, 2023 #21 Wanajidai ni chaneli ya "wanyonge"!Waje na Tanzania wawachukue wanyonge wao.
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,634 Nov 19, 2023 #22 Aljazeera wapo bias Pro arab and islamic Kuna mama moja wa kizungu humo aliajiriwa kwa pesa ndefu akapewa shughuli ya kutoa hate speech kwa israeli
Aljazeera wapo bias Pro arab and islamic Kuna mama moja wa kizungu humo aliajiriwa kwa pesa ndefu akapewa shughuli ya kutoa hate speech kwa israeli
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 50,958 Reaction score 92,358 Nov 19, 2023 #23 Sitaki kuamini said: Very partisan media,as long as wewe ni hamas sympathizer utaisifu hii Click to expand... Hamas ni kiji-group cha vijitu vijinga sana.Wanachokoza moto halafu wanataka sympathy ya watu wote duniani?Holy fools!🤔
Sitaki kuamini said: Very partisan media,as long as wewe ni hamas sympathizer utaisifu hii Click to expand... Hamas ni kiji-group cha vijitu vijinga sana.Wanachokoza moto halafu wanataka sympathy ya watu wote duniani?Holy fools!🤔
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 51,583 Reaction score 144,492 Nov 19, 2023 #24 LOTH HEMA said: wapo upande wa mnyaazi Click to expand... Wanapendelea vp wakati unaona kbsa watoto na wakazi wapalestina wanavyoteseka.
LOTH HEMA said: wapo upande wa mnyaazi Click to expand... Wanapendelea vp wakati unaona kbsa watoto na wakazi wapalestina wanavyoteseka.
Sitaki kuamini JF-Expert Member Joined Aug 9, 2018 Posts 1,193 Reaction score 1,388 Nov 19, 2023 #25 Moisemusajiografii said: Hamas ni kiji-group cha vijitu vijinga sana.Wanachokoza moto halafu wanataka sympathy ya watu wote duniani?Holy fools!🤔 Click to expand... Wapumbavu sana hawa,yoav Gallant kasema hata wale magaidi wavaa suti waliojificha Qatar ni maiti watarajiwa
Moisemusajiografii said: Hamas ni kiji-group cha vijitu vijinga sana.Wanachokoza moto halafu wanataka sympathy ya watu wote duniani?Holy fools!🤔 Click to expand... Wapumbavu sana hawa,yoav Gallant kasema hata wale magaidi wavaa suti waliojificha Qatar ni maiti watarajiwa
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 13,924 Reaction score 31,122 Nov 19, 2023 #26 Nanren said: Kwa sana. Kwanza ni kama vile duniani hakuna matukio mengine kwa sasa. Wao wako pale pale na one-sided stories. Click to expand... Hata uchambuzi wao ukisikiliza unaweza jua vita alianzisha Israel
Nanren said: Kwa sana. Kwanza ni kama vile duniani hakuna matukio mengine kwa sasa. Wao wako pale pale na one-sided stories. Click to expand... Hata uchambuzi wao ukisikiliza unaweza jua vita alianzisha Israel
Snowden E JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 1,707 Reaction score 3,022 Nov 19, 2023 #27 Portal said: Aljazeera ime - base upande wa palestina kazi yao ni kuongea mabaya ya Israel tu . Hamas ndo ilichikoza Israel ila hawasemi kutwa nzima ni kuponda Israel na IDF. BBC ndo channel nzuri wapo kati kati. Click to expand... Kinjekitile aliwachokoza Wajerumani, Kinjekitile alikuwa Gaidi. Mkwawa aliwachokoza wajerumani, Mkwawa alikuwa Gaidi. Tanzania ilipambania ardhi yake ya Kagera kutoka kwa mvamizi Iddi Amini. Tanzania ni Magaidi.
Portal said: Aljazeera ime - base upande wa palestina kazi yao ni kuongea mabaya ya Israel tu . Hamas ndo ilichikoza Israel ila hawasemi kutwa nzima ni kuponda Israel na IDF. BBC ndo channel nzuri wapo kati kati. Click to expand... Kinjekitile aliwachokoza Wajerumani, Kinjekitile alikuwa Gaidi. Mkwawa aliwachokoza wajerumani, Mkwawa alikuwa Gaidi. Tanzania ilipambania ardhi yake ya Kagera kutoka kwa mvamizi Iddi Amini. Tanzania ni Magaidi.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,772 Reaction score 42,028 Nov 19, 2023 #28 Snowden E said: Kinjekitile aliwachokoza Wajerumani, Kinjekitile alikuwa Gaidi. Mkwawa aliwachokoza wajerumani, Mkwawa alikuwa Gaidi. Tanzania ilipambania ardhi yake ya Kagera kutoka kwa mvamizi Iddi Amini. Tanzania ni Magaidi. Click to expand... Mfano wa hovyo kutoka kwa ostadhi,unaelewa hata maana ya ugaidi?
Snowden E said: Kinjekitile aliwachokoza Wajerumani, Kinjekitile alikuwa Gaidi. Mkwawa aliwachokoza wajerumani, Mkwawa alikuwa Gaidi. Tanzania ilipambania ardhi yake ya Kagera kutoka kwa mvamizi Iddi Amini. Tanzania ni Magaidi. Click to expand... Mfano wa hovyo kutoka kwa ostadhi,unaelewa hata maana ya ugaidi?