Aljazeera sports decorder: Msaada tutani

kwemwale

Member
Mar 2, 2013
98
42
Wakuu habari za jioni.

Aljzeera Sports chnnels zile za mipira hazipatikani. Nimeelezw kuwa jamaa wamebailisa frequencies. Naomba mwenye kuweza kug'amua hii kitu anijuze.
 
Mkuu nasikia wameblock jwa Afrika nzima. Unajua matangazo ya aljazeera yanatakiwa kuonekana Middle East na Northern Africa only, yaani nchi za kiarabu tu, kwa iyo sisi wa chini ya jangwa la sahara tukae chonjo, au tuhamie DSTV ambao ndio wenye haki kwa Afrika ya kuonesha mpira
 

Duuh kama ni kweli tumeuwawa, bila shaka ni fitna za makaburu wa DSTV....shuwaini zao
 

wakuu bado hakuna mwenye utaalam wakufungua hizi channels za mpira zilizofungwa za aljazeera maana leo kuna kimbembe cha epl.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…