Aljazeera English inapigwa spana sana mitandaoni tatizo nini?

Ukitaka fact tutaenda kwa fact, ukitaka vihoja tutaenda ivyo

Ukitaka propaganda pia

Kwahiyo unakataa kuwa mataifa ya kiarabu hayakuungana kutaka kuingamiza israel?

Anzisha uzi wa ushirikiano wa Jews na britain ulivyoanzia nitakuja nikupe maarfa
Hizo mada zote zinaweza kujadiliwa humu ndani pasi na kuanzisha uzi mpya.
Nilizoongea zote facts,kama si true facts zipinge kwa hoja kama navyokupinga kwa hoja.
Lete mwaka na jina la vita waarabu walioungana kuiangamiza Israel???
Tuanzie hapo.
 
Embu niambie unaposema msaada unautizama kwa mtazamo gani?

Au ulitaka wasaidiwe visiraha vya kichina na vibilioni kadhaa.
Msaada unaangalikana na hali ilivyo.
Kama ni msaada wa kivita tarajia mshirika wako akufadhili nguvu ya kuendesha vita kisilaha na kifedha.
Hakuna hata kimoja China alikifanya kwa Russia zaidi ya kusema hatoingilia na atabaki kuwa mshirika wa kibiashara tu.
 
Uhisiano wa israeli na urusi na mataifa niliyoyataja hapo juu ni ya that kabisa

Ukilinganisha uhisiano wa urusi na either iran and the likes

Ni mgogoro wa USA na Russia tu ndio unaifanya urusi kutokua active kisiasa na israeli
Russia haijai kuwa na uhusiano mkubwa na Israel embu acha uongo we kijanaa!
Au unaizungumzia Ukraine??
Ukraine kuna raia wengi wa asili ya kiisrael pia Ukraine ana uhusiano mkubwa na Israel ila sio Russia acha uongo.
 
Israel na marekani +Westerns sijui waliwaliwafanya nini hawa watu, yani huwaambii kitu kwao, mauwaji na mateso wanayopitia ndugu zetu waislamu ni furaha na gelegele kwao.
 
BBC na Reuters ni vyombo vya habari vinavyoaminika duniani na utasikia ikisemwa, "kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika la utangazaji la Uingereza BBC au na shirika la habari la Reuters la Uingereza," basi kila moja anafahamu vizuri kwamba sio taarifa ya kibabaishaji bali ni taarifa za uhakika kabisa.
 
Israel na marekani +Westerns sijui waliwaliwafanya nini hawa watu, yani huwaambii kitu kwao, mauwaji na mateso wanayopitia ndugu zetu waislamu ni furaha na gelegele kwao.
Kwani wale waafrika wenzako wanaokufa Congo, Sudan, Nigeria nk sio ndugu zako. Bure kabisa wewe pagazi wa mwarabu.
 
Aljazeera wako biased kwenye habari zinahusu waarabu against non-arabs

BBC na Reuters wanamadhaifu yao lkn hawako biased km aljazeera

Sasa Kina Osama,sadam na gadaf ulitegemea watoe ushirikiano wapi zaidi ya aljazeera
Go straight to the point! Al Jazeera is terrorist propaganda machine! That's very clear; unazunguka mbuyu kwa mambo ambayo yako wazi why?
 
Go straight to the point! Al Jazeera is terrorist propaganda machine! That's very clear; unazunguka mbuyu kwa mambo ambayo yako wazi why?
Hiko chombo unachokiita cha propaganda za kigaidi kuna Wamarekani ndio waratibu wa vipindi vikuu vya Aljazeera English kina Kimberley Halkett.
Basi itakua labda wenyewe Wamarekani wameamua kuanzisha propaganda za kigaidi ndani ya Aljazeera.
Hiko chombo pia kimepokea tuzo kedekede cha kuwa chombo bora cha habari.
Ila kwasababu we ni kijana brainwashed na story za vijiwe vya kahawa wacha tukusamehe tu.
 
Israel na marekani +Westerns sijui waliwaliwafanya nini hawa watu, yani huwaambii kitu kwao, mauwaji na mateso wanayopitia ndugu zetu waislamu ni furaha na gelegele kwao.
Hawajielewi hawa.
Mtu anasema eti dunia iko upande wa Israel akati Spain tu katoka kuhimiza bunge lipige kura za kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel.
 
Elimika kwanza kabla hujabwatuka. Israeli sasa ni nchi ilio kua isolated duniani.
Hata kawadi wake Marekani kaanza kuona njia ya kumkwepa. Shukran kwa Al Jazeera.
Wewe kaa ulishwe propaganda na hivyo vyombo vya mabeberu wabaguzi wakoloni
yaan nchi za kiarabu zenyewe hazija ia isolate sasa sijui iko isolated na familia yako😂😂😂
Hizi habar za kusikilizaga msikini ni shida kweli
 
Hapo kwenye "my take" inaonyesha hata wewe ni miongoni mwa wapiga spana Aljazeera English hata kama ulikuwa mpenzi msomaji wa comments ila umeandika kitaalam sana kama unashangaa inavyopigwa spana.

Anyway, Aljazeera kipindi cha Osama ilikuwa moto sana kwenye habari za nchi za mashabiriki ya kati ambazo zilikuwa hazipatikani kwenye vyombo vya magharibi kabla haijachakachuliwa
 
Wala haijachakachuliwa mkuu iko vile vile.
 
yaan nchi za kiarabu zenyewe hazija ia isolate sasa sijui iko isolated na familia yako😂😂😂
Hizi habar za kusikilizaga msikini ni shida kweli
We jamaa huwa unafurahisha ukiongea kama unajua kumbe hakuna kitu.
Nenda katizame kama Brazil,Colombia,Venezuela kama kuna Israel Embassy katika hayo mataifa ongezea na Cuba.
Jordan imefunga balozi ya Israel sawia na Qatar yenyewe na Saudi Arabia amefuta muswada wa kuitambua Israel pale middle east.
Uwe unafuatilia habari sio kukurupuka.
Belgium na Spain wanashinikiza kila leo bunge lipige kura kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel.
 
Aljazeera inajulikana kuwa ni Pro palestine inatunga uongo sana kusingizia israeli

Lakini wanakutana na spana sana kwenye platforms za social media zao

Aljazeera anajaribu kuionesha dunia kuwa israeli ni makatili ila wananzengo wanampiga spana za kutosha kuwa magaidi wa hamas ndio chanzo

Waarabu hadi wameikimbia aljazeera English wameenda kucoment alkbar kwenye aljazeera arab

Wamebaki hindu, westernized black na few mandeira wanawapiga spana aljazeera

My take: Aljazeera iache kutunga habari za uongo ijikite kwenye fact itaheshimika duniani

Otherwise BBC, Reuters ndio wataendelea ku kukimbiza duniani.
Wewe unafikiri station wamiliki wake wako chini ya influence ya Allah the Satan patakosa propaganda za uongo hapo??!!
 
Back
Top Bottom