Aljazeera English inapigwa spana sana mitandaoni tatizo nini?

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,990
8,367
Aljazeera inajulikana kuwa ni Pro palestine inatunga uongo sana kusingizia israeli

Lakini wanakutana na spana sana kwenye platforms za social media zao

Aljazeera anajaribu kuionesha dunia kuwa israeli ni makatili ila wananzengo wanampiga spana za kutosha kuwa magaidi wa hamas ndio chanzo

Waarabu hadi wameikimbia aljazeera English wameenda kucoment alkbar kwenye aljazeera arab

Wamebaki hindu, westernized black na few mandeira wanawapiga spana aljazeera

My take: Aljazeera iache kutunga habari za uongo ijikite kwenye fact itaheshimika duniani

Otherwise BBC, Reuters ndio wataendelea ku kukimbiza duniani.
 
Aljazeera inajulikana kuwa ni Pro palestine inatunga uongo sana kusingizia israeli

Lakini wanakutana na spana sana kwenye platforms za social media zao

Aljazeera anajaribu kuionesha dunia kuwa israeli ni makatili ila wananzengo wanampiga spana za kutosha kuwa magaidi wa hamas ndio chanzo

Waarabu hadi wameikimbia aljazeera English wameenda kucoment alkbar kwenye aljazeera arab

Wamebaki hindu, westernized black na few mandeira wanawapiga spana aljazeera

My take
Aljazeera iache kutunga habari za uongo ijikite kwenye fact itaheshimika duniani

Otherwise Bbc, Reuters ndio wataendelea ku kukimbiza duniani
KUMBE HAYA MAMBOHADI HUKO YAPO
 
Otherwise Bbc, Reuters ndio wataendelea ku kukimbiza duniani
Yaani unatafuta habari balance kuhusu Israel alafu unaende BBC na Reuters ? Wewe mwenyewe umesema waarabu wanakwenda Aljazera Arab na sio BBC au Reuters..., Au waarabu sio part ya dunia ?
 
Nawewe usiwe drained kiasi hicho kwa mfano leta uongo wowote imetunga na ukapingwa
 
Aljazeera inajulikana kuwa ni Pro palestine inatunga uongo sana kusingizia israeli

Lakini wanakutana na spana sana kwenye platforms za social media zao

Aljazeera anajaribu kuionesha dunia kuwa israeli ni makatili ila wananzengo wanampiga spana za kutosha kuwa magaidi wa hamas ndio chanzo

Waarabu hadi wameikimbia aljazeera English wameenda kucoment alkbar kwenye aljazeera arab

Wamebaki hindu, westernized black na few mandeira wanawapiga spana aljazeera

My take
Aljazeera iache kutunga habari za uongo ijikite kwenye fact itaheshimika duniani

Otherwise Bbc, Reuters ndio wataendelea ku kukimbiza duniani
Elimika kwanza kabla hujabwatuka. Israeli sasa ni nchi ilio kua isolated duniani.
Hata kawadi wake Marekani kaanza kuona njia ya kumkwepa. Shukran kwa Al Jazeera.
Wewe kaa ulishwe propaganda na hivyo vyombo vya mabeberu wabaguzi wakoloni
 
Israeli ipo isolated kivipi?

Israeli inaungwa mkono na wababe wote wa dunia kuanzia ulaya magharibi, USA, Russia, Japan na China

Ni maslahi tu yanfanya urusi asjihusishe na israeli direct kwenye media

Olugach wote wa russia 70% ni mayahudi

Bbc na Reuters ndio cited information kwa 90% duniani

Hata hiyo TV unayoangalia wanasubiri habari za BBC au Reuters ndio wakuletee wewe
Yaani unatafuta habari balance kuhusu Israel alafu unaende BBC na Reuters ? Wewe mwenyewe umesema waarabu wanakwenda Aljazera Arab na sio BBC au Reuters..., Au waarabu sio part ya dunia ?
 
Israeli ipo isolated kivipi?

Israeli inaungwa mkono na wababe wote wa dunia kuanzia ulaya magharibi, USA, Russia, Japan na China

Ni maslahi tu yanfanya urusi asjihusishe na israeli direct kwenye media

Olugach wote wa russia 70% ni mayahudi
Sijui hizi propaganda mnazitowa wapi? Mkishiba makande mnaanza kuropoka tu.
 
Usiwe mbumbumbu kiasi hicho.
Aljazeera ndio chombo cha habari pekee chenye correspondent karibuni duniani kote.

Pia usitudanganye kuwa Israel inaungwa mkono na wababe wote China,Spain,Belgium,Russia zilisema wazi kuwa Israel aache collective punishment na aache kusingizia genocide ya miaka ya nyuma ku claim genocide Gaza.
Pia walitamka wazi viongozi wa hizo nchi kuwa US na UK iache sera za upendeleo kuhusu Palestina badala yake iizuie Israel na ilete two state solution ili Palestina iwe nchi huru.

Unajua kuna mataifa mengi Ulaya na America kusini yamevunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel??

Embu lete uongo ambao Aljazeera imesambaza.
Maana BBC waliwahi kushutumiwa kwa espionage ilhali Aljazeera haikuwahi shutumiwa.
Na usidanganye Aljazeera inasubiri habari BBC ndio itangaze bali ina correspondent dunia nzima.
WATU SIO WAJINGA,MUDA MWINGINE ULETE TAARIFA ZIKIWA NA UTHIBITISHO SIO KULETA UTOPORO HAPA.
 
Angalia uhisiano kati ya israeli na china, then ulinganishe kati ya china na nchi za kiarabu

Unadanganywa na zile platform za kura za UN?
Sijui hizi propaganda mnazitowa wapi? Mkishiba makande mnaanza kuropoka tu.
 
Angalia uhisiano kati ya israeli na china, then ulinganishe kati ya china na nchi za kiarabu

Unadanganywa na zile platform za kura za UN?
China ni taifa linalotizama faida ya kibiashara kuliko kitu kingine.
Hivi ulishajiuliza kwanini China hakuisaidia Russia dhidi ya Ukraine na NATO ilhali wao marafiki toka enzi za ukomunisti??
China ilitamka wazi haitaingilia huo mzozo na ataendelea na biashara ila US na UK wamzuie Israel kufanya genocide na suluhu pekee waipe Palestina taifa huru.
Uwe unatizama habari.
 
Bbc na Reuters ndio cited information kwa 90% duniani

Hata hiyo TV unayoangalia wanasubiri habari za BBC au Reuters ndio wakuletee wewe
Kwahio Habari za mtu kama Osama Bin Laden zilikuwa zinaanzia BBC na Reuters ? Ni kama unataka habari za mabaya ya CCM unakwenda kumuuliza Katibu wao Mwenezi..., Kwa wenye busara tunaangalia huku na kule na kuchuja wenyewe as well as kupata pande zote wanasema....., Hatumezi kila tunacholishwa.....

Truth died a long time ago what is left is propaganda..., na hizi western media are also known for bending their views...
 
Aljazeera wako biased kwenye habari zinahusu waarabu against non-arabs

BBC na Reuters wanamadhaifu yao lkn hawako biased km aljazeera

Sasa Kina Osama,sadam na gadaf ulitegemea watoe ushirikiano wapi zaidi ya aljazeera
Kwahio Habari za mtu kama Osama Bin Laden zilikuwa zinaanzia BBC na Reuters ? Ni kama unataka habari za mabaya ya CCM unakwenda kumuuliza Katibu wao Mwenezi..., Kwa wenye busara tunaangalia huku na kule na kuchuja wenyewe as well as kupata pande zote wanasema....., Hatumezi kila tunacholishwa.....

Truth died a long time ago what is left is propaganda..., na hizi western media are also known for bending their views...
 
Aljazeera inajulikana kuwa ni Pro palestine inatunga uongo sana kusingizia israeli

Lakini wanakutana na spana sana kwenye platforms za social media zao

Aljazeera anajaribu kuionesha dunia kuwa israeli ni makatili ila wananzengo wanampiga spana za kutosha kuwa magaidi wa hamas ndio chanzo

Waarabu hadi wameikimbia aljazeera English wameenda kucoment alkbar kwenye aljazeera arab

Wamebaki hindu, westernized black na few mandeira wanawapiga spana aljazeera

My take
Aljazeera iache kutunga habari za uongo ijikite kwenye fact itaheshimika duniani

Otherwise Bbc, Reuters ndio wataendelea ku kukimbiza duniani

Bandari ya Bagamoyo inauzwa, ya Mtwara, Hakuna dollar Tanzania, Tutusa anajadili spana za Aljazira.
 
Haihitajiki Al Jazeera kuelezewa ushenzi wa Israel labda uwe mwendawazimu unayejifanya hauelewi kinacho endelea Palestine chini ya ukoloni wa Israel.
 
Kwahio Habari za mtu kama Osama Bin Laden zilikuwa zinaanzia BBC na Reuters ? Ni kama unataka habari za mabaya ya CCM unakwenda kumuuliza Katibu wao Mwenezi..., Kwa wenye busara tunaangalia huku na kule na kuchuja wenyewe as well as kupata pande zote wanasema....., Hatumezi kila tunacholishwa.....

Truth died a long time ago what is left is propaganda..., na hizi western media are also known for bending their views...
Ndio mimi nataka kumshangaa.
France 24 na BBC ndio ziliongoza kuwatangaza mataifa ya kiarabu kuwa ni ya kigaidi na yanafadhili ugaidi tena hadi sasa yanatangaza kuwa Hamas ni magaidi.
Je hao hawako biased??
Hio BBC iliwahi pewa shutuma za habari za ulaghai na shutuma zikathibitika.
 
Aljazeera wako biased kwenye habari zinahusu waarabu against non-arabs

BBC na Reuters wanamadhaifu yao lkn hawako biased km aljazeera

Sasa Kina Osama,sadam na gadaf ulitegemea watoe ushirikiano wapi zaidi ya aljazeera
Kwahio ukitaka kupata habari za upande mwingine na wao wanasemaje (watetezi wao) utakwenda wapi ? Kwa yule anayependelea upande mwingine lakini ana afadhari ? Angalau Aljazeera huwa wanapenda kuleta pande mbili zinyukane huku unakuta habari wameshaweka kabisa conclusion ni mwendo wa kulishwa... Na hata mambo ya Russia huwezi kupata the other side BBC..., Its upon you kwenda kwenye Media ambazo sio against Russia na kufanya upembuzi yakinifu
 
Ila magaidi ya Hamas yanavyoua waisrael ni sawa?
Antonio Gutteres alishasema historia haianzi oktoba 7 kuna waliyopitia Gaza kiasi cha kusababisha machafuko Israel kupitia Hamas.
Una habari kama august na september Ramallah na Jenin Israel settlers wakisaidiwa na IDF walikua wakivunja nyumba za Palestina na kulazimisha expansion ya Jewish settlers??

Hivi una habari toka 2005 Israel iliiwekea vikwazo Gaza vya bahari,ardhi na anga??
Una habari hizo?
Hivi una habari kila mwaka watoto wa kipalestina chini ya miaka 14 takriban 200 hukamatwa na kufungwa jela za jeshi na kuteswa!?
Huna unalolijua
 
Back
Top Bottom