Kuanzia tarehe 25 Apr 2019
nategemea kuanza kuvuna alizeti aina ya KENYA FEZA zaidi ya hekari 20 na mbegu za kienyeji zaid ya hekari 20 pia.Makadirio na kupata alizet aina ya kenya feza gunia 200 na alizeti mbegu za kienyeji gunia 200 pia.
Alizeti zote zimelimwa Songea.
Anayehitaji alizet hizo anaweza kufanya mawasiano nami kwa namba 0763728756/0673728756
Ona Shamba below!