Nawashangaa wachangiaji wnaoikataa hoja ya Lissu. Hebu mjipe kanafasi ka dogo hivi muisome katiba yenye viraka vingi ya mwaka 1977 mjiridhishe kabla ya kuchangia kiushabiki. Au nanyi ni wa buku 7 wenye kujibu hoja pasi na kuwa na hoja? Ndo maana mnaburuzwa as if nchi hii ni ya kifalme. Wameweka sheria lazima wazizinagatie na kuzitii. Hongera Lissu kwa kuwakumbusha hawa wavivu wa kusoma japo vitu vidogo kama katiba. Nawaasa m-badilike kwani wasomi wa aina yenu hamna manufaa kwa taifa lenu na mnachangia umaskini kwa wananchi waliojtolea kodi zao ili msome. Laiti wanangalijua mtakuja kuwa hivi wangegoma kulipa kodi ili mkachunge ng'ombe!