ericmarimbo
Member
- Sep 30, 2011
- 91
- 37
Mbona alisema Chedema itakamata dola kwenye uchaguzi wa 2010 na haikuwa?
Mbona alisema Chedema itakamata dola kwenye uchaguzi wa 2010 na haikuwa?
Tatizo ccm wali iba kura. Wamuulize Prof... Lipumba[/QUOT
UMEDANGANYWA HIVYO NA KWA AKILI YAKO FUPI UKAKUBALI MIAKA YOTE UTABAKI WAMEIBA KURA BADALA YA KUBORESHA SERA ZENU
alisema mrema atakua rais mwaka 2000 na akazunguka nae kumfanyia kampeni,akaangukia pua.Acha uongo ! Kakobe hakuwahi kusema kitu kama hicho !
Mbona hakusema kuwa wataiba kura?Tatizo ccm wali iba kura. Wamuulize Prof... Lipumba
Tatizo ccm wali iba kura. Wamuulize Prof... Lipumba
alisema mrema atakua rais mwaka 2000 na akazunguka nae kumfanyia kampeni,akaangukia pua.
Baada ya kushinda alikuwa rais wa nchi gani?Nani kakudanganya kwamba mrema hakushinda 95'?
Ndiyo hapo ninapomkubali Lowassa.Sita ni kibaka tu wa
kanuni mimi nalichukia et li mtu la starndard likajigamba huwa linasali
huyo mungu sita anayemwamini atamuadhibu Kabila hâta bunge hili
halijaisha subirini muone na ilaaniwe île siku hili jitu
lilipozaliwa
Mara nyingi uongo ukizungumzwa mara nyingi huonekana kama ni kitu cha kweli, unakumbuka hili alilisema lini na wapi? Tukumbushe wote tujue!Mbona alisema Chedema itakamata dola kwenye uchaguzi wa 2010 na haikuwa?
Wa nyumbani kwakoBaada ya kushinda alikuwa rais wa nchi gani?
Maswali ya kitoto hayo hapa siyo mahakama. Mbona umeme umepita juu ya kanisa lake na alisema hautapita? Unashangaa kuwa alisema chadema itakamata dola na haikuwa? hiyo nimekupa 'relevant facts'Mara nyingi uongo ukizungumzwa mara nyingi huonekana kama ni kitu cha kweli, unakumbuka hili alilisema lini na wapi? Tukumbushe wote tujue!
Maswali ya kitoto hayo hapa siyo mahakama. Mbona umeme umepita juu ya kanisa lake na alisema hautapita? Unashangaa kuwa alisema chadema itakamata dola na haikuwa? hiyo nimekupa 'relevant facts'