Aliyopata kusema Mwalimu Nyerere yametimia

Aliyopata kusema Mwalimu Nyerere yametimia

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,510
MARHUM Julius K Nyerere aliwahi kunena ''HAKUNA VYAMA VYA UPINZANI VYENYE UWEZO WA KUING'OA CCM MADARAKANI. UPINZANI WA KWELI UTATOKA NDANI YA CCM, WENYEWE KWA WENYEWE WATATOFAUTIANA NA WATATOKA NDANI YA CCM NA KUANZISHA CHAMA CHAO.
 
  • Thanks
Reactions: Gor
Aliposema haya, mrema, maalim seif, mapalala, mtei, mtikila, marando, cheyo, makani bob nk, walikuwa wametokea chama gani vile?
 
MARHUM julius k nyerere aliwahi kunena ''HAKUNA VYAMA VYA UPINZANI VYENYE UWEZO WA KUING'OA CCM MADARAKANI. UPINZANI WA KWELI UTATOKA NDANI YA CCM, WENYEWE KWA WENYEWE WATATOFAUTIANA NA WATATOKA NDANI YA CCM NA KUANZISHA CHAMA CHAO.

slaa na mtei walitoka wapi au walitokea ANC South Africa?
 
hapakuwa na mgawanyiko ccm, hao walitoka mmoja mmoja

Tena Mtei alitofautiana Nyerere mwenyewe basi. Na wakati anaongelea hii zana hakujua kua kutafautina ndani ya siasa za chama ni suala mtambuka. Sasa kumezuka wakina act, kutafautina kwa waliotofautina.
 
aliposema haya, mrema, maalim seif, mapalala, mtei, mtikila, marando, cheyo, makani bob nk, walikuwa wametokea chama gani vile?

si unajifanya hujui mwisho wa reli? Subiria utajua tu. Hivyo vyooote ni vituo kama pug, msoga, kilosa, morogoro, saranda ,manyoni, makutupora, godegode, dodoma, gulwe, tabora, mpanda, urambo, na hatimaye unaingia mwisho wa safari yako.. Kgm hapa lazima utake ustake utashuka tu hata kwa bakora... NDOOORRROBO WEE:bathbaby:!!
 
Back
Top Bottom