Mkuu hawa jamaa nadhani hawana nia ya kuajiri watu kwa kufata utaratibu wa ajira,kila mtu analalamika kuhusu email address yao lakini wenyewe hawajali,huoni kama hakuna nia ya dhati hapo.Wachana nao waendelee kupeana ajira kwa vi memo,ila ipo siku yao.