Aliyetumia mtandao kutukana, jela miaka 3

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,996
Mfanyabiashara Naila Aminel (24) amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh milioni tano baada ya kukiri kutumia mtandao wa kompyuta kutuma ujumbe wa lugha ya matusi.

Aminel ambaye ni mkazi wa Kariakoo, alihukumiwa kifungo hicho jana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi, Said Mkasiwa.

Awali, akisoma mashitaka, Wakili wa Serikali, Sylvia Mitanto alidai kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Februari 13 mwaka huu, maeneo ya katikati ya jiji, wilayani Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.

Mitanto alidai kuwa mshitakiwa alitumia lugha ya matusi dhidi ya Martha Sebarua kupitia mtandao wa kompyuta kinyume na kifungu namba 23 (1) na (3) cha Sheria ya Makosa ya Mtandao namba 14 ya mwaka 2015.

Hata hivyo, Mitanto aliiomba mahakama kutoa adhabu kali kwa mshitakiwa iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hizo.

Mshitakiwa huyo alidai hakumtukana mlalamikaji isipokuwa alifanya hivyo kwa kuwa alimchukulia mume wake na walipiga picha za utupu na kumtumia kwenye simu yake.

Aliiomba pia mahakama kumpunguzia adhabu kwa kuwa ana watoto wadogo ambao wanamtegemea.

Hakimu Mkasiwa alisema kuwa mshitakiwa amekiri kutumia lugha ya matusi hafai katika jamii na kwa sababu kosa lake ni la kwanza, atatakiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh milioni tano.

Chanzo: Habarileo
 
Hii sheria ya mitandao ni kiboko!

Huyu mfanyabiashara amehukumiwa baada ya kukutwa na uvunjifu wa sheria hii,

23. (1) A person shall not initiate or send any electronic communication using a computer system to another person with intent to coerce, intimidate, harass or cause emotional distress.
(2) A person who contravenes subsection (1) commits an offence and is liable on conviction to a fine of not less than three million shillings or to imprisonment for a term of not less than one year or to both.

Kuna hili kosa ambalo nadhani wengi watajikuta katika wakati mgumu kama serikali itaamua kufuatilia!

16.- Any person who publishes information, data or facts presented in a picture, text, symbol or any other form in a computer system where such information, data or fact is false, desceptive, misleading or inaccurate commits an offence, and shall on conviction be liable to a fine not less than three million shillings or to imprisonment for a term not less than six months or to both.

Hili kosa pia linawanyemelea kwa karibu vijana wengi wa dot.com kutokana na mazingira ya kimaisha kwa sasa;

14.-(1) A person shall not publish or cause to be published through a computer system or through any other information and communication technology:
(a) pornography; or
(b) pornography which is lascivious or obscene.
(2) A person who contravenes subsection (1) commits an offence and is liable on conviction, in the case of publication of-
(a) pornography, to a fine of not less than twenty million shillings or to imprisonment for a term of not less than seven years or to both; and (b) pornography which is lascivious or obscene, to a fine of not less than thirty million shillings or to imprisonment for a term of not less than ten years or to both.

Ninaweza kusema, this is more than shut up law!

Ndio maana kwa sasa hatupati hapa Jamiiforums thread zenye uwongo uliokaribu na ukweli!
 
Huyo mlalamikaji aliyetuma picha za uchi wakiwa na mume wa mshitakiwa kwa nini naye hajashitakiwa? Kwanza hiyo ni provocation na ni utetezi kisheria kama mshitakiwa naye angepeleka ushahidi huo mahakamani. Hakimu alitakiwa awafunge wote wawili chini ya kifungu 14(1).
 
Ukweli ni kwamba hii sheria ikitumika vilivyo 65% ya wachangangiaji hasa kwenye hili jukwaa la siasa watajikuta mahakamani. Maana ukiisoma hiyo sheria utaona upotoshaji, matusi na hata lugha ya kuudhi vinatajwa kuwa ni makosa.
 
Huyo mlalamikaji aliyetuma picha za uchi wakiwa na mume wa mshitakiwa kwa nini naye hajashitakiwa? Kwanza hiyo ni provocation na ni utetezi kisheria kama mshitakiwa naye angepeleka ushahidi huo mahakamani. Hakimu alitakiwa awafunge wote wawili chini ya kifungu 14(1).
Nadhani naye alikuwa Na kesi ya kujibu kulingana Na hiyo sheria. Inaonekana huyo mshtakiwa hakuwa Na uelewa wa hii Sheria.
 
Huyo mlalamikaji aliyetuma picha za uchi wakiwa na mume wa mshitakiwa kwa nini naye hajashitakiwa? Kwanza hiyo ni provocation na ni utetezi kisheria kama mshitakiwa naye angepeleka ushahidi huo mahakamani. Hakimu alitakiwa awafunge wote wawili chini ya kifungu 14(1).
Blaza provocation ni defence kwenye kesi za mauaji pekee
 
Huyu aliyetukana bungeni na kuwadhalilisha wanawake sijui atapewa adhabu gani au double standard kama kawa
 
Huyo mlalamikaji aliyetuma picha za uchi wakiwa na mume wa mshitakiwa kwa nini naye hajashitakiwa? Kwanza hiyo ni provocation na ni utetezi kisheria kama mshitakiwa naye angepeleka ushahidi huo mahakamani. Hakimu alitakiwa awafunge wote wawili chini ya kifungu 14(1).
ni zamuzamu akilipa hiyo faini naye atafungua mashtaka
 
Hii sheria yetu ni very expensive for our economy. Fine ya million 5? Kifungo chote hicho? We have to repeal it
 
Kutuma picha ya utupu kwenye mtandao ni kosa kisheria, na mlalamikaji nae angetakiwa apewe hukumu yake, halafu hioi michepuko ni watu wasio jitambua kweli hivi mume wangu kaja kupunguza kichupa hapo kwako unajisifu na kunionesha kuwa umekojolewa? Mpuuzi kweli mie ningehesabu kama mume wangu amekojoa choo cha site tu baada ya kuzidiwa na haja , mpuuzi huyo kuu huyo mwanaume.
 
Huyo mlalamikaji aliyetuma picha za uchi wakiwa na mume wa mshitakiwa kwa nini naye hajashitakiwa? Kwanza hiyo ni provocation na ni utetezi kisheria kama mshitakiwa naye angepeleka ushahidi huo mahakamani. Hakimu alitakiwa awafunge wote wawili chini ya kifungu 14(1).

Inaelekea alikosa kuthibitisha madai yake vinginevyo huyo mwingine naye angekuwa matatani
 
"Ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hiyo". Hii kauli inachanganya sana maana kwenye kila hukumu inatumika lakini uhalifu hauishi nchini!
 
Mfanyabiashara Naila Aminel (24) amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh milioni tano baada ya kukiri kutumia mtandao wa kompyuta kutuma ujumbe wa lugha ya matusi.

Aminel ambaye ni mkazi wa Kariakoo, alihukumiwa kifungo hicho jana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi, Said Mkasiwa.

Awali, akisoma mashitaka, Wakili wa Serikali, Sylvia Mitanto alidai kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Februari 13 mwaka huu, maeneo ya katikati ya jiji, wilayani Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.

Mitanto alidai kuwa mshitakiwa alitumia lugha ya matusi dhidi ya Martha Sebarua kupitia mtandao wa kompyuta kinyume na kifungu namba 23 (1) na (3) cha Sheria ya Makosa ya Mtandao namba 14 ya mwaka 2015.

Hata hivyo, Mitanto aliiomba mahakama kutoa adhabu kali kwa mshitakiwa iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hizo.

Mshitakiwa huyo alidai hakumtukana mlalamikaji isipokuwa alifanya hivyo kwa kuwa alimchukulia mume wake na walipiga picha za utupu na kumtumia kwenye simu yake.

Aliiomba pia mahakama kumpunguzia adhabu kwa kuwa ana watoto wadogo ambao wanamtegemea.
Hakimu Mkasiwa alisema kuwa mshitakiwa amekiri kutumia lugha ya matusi hafai katika jamii na kwa sababu kosa lake ni la kwanza, atatakiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh milioni tano.
 
Hii sheria ya mitandao ni kiboko!

Huyu mfanyabiashara amehukumiwa baada ya kukutwa na uvunjifu wa sheria hii,

23. (1) A person shall not initiate or send any electronic communication using a computer system to another person with intent to coerce, intimidate, harass or cause emotional distress.
(2) A person who contravenes subsection (1) commits an offence and is liable on conviction to a fine of not less than three million shillings or to imprisonment for a term of not less than one year or to both.

Kuna hili kosa ambalo nadhani wengi watajikuta katika wakati mgumu kama serikali itaamua kufuatilia!

16.- Any person who publishes information, data or facts presented in a picture, text, symbol or any other form in a computer system where such information, data or fact is false, desceptive, misleading or inaccurate commits an offence, and shall on conviction be liable to a fine not less than three million shillings or to imprisonment for a term not less than six months or to both.

Hili kosa pia linawanyemelea kwa karibu vijana wengi wa dot.com kutokana na mazingira ya kimaisha kwa sasa;

14.-(1) A person shall not publish or cause to be published through a computer system or through any other information and communication technology:
(a) pornography; or
(b) pornography which is lascivious or obscene.
(2) A person who contravenes subsection (1) commits an offence and is liable on conviction, in the case of publication of-
(a) pornography, to a fine of not less than twenty million shillings or to imprisonment for a term of not less than seven years or to both; and (b) pornography which is lascivious or obscene, to a fine of not less than thirty million shillings or to imprisonment for a term of not less than ten years or to both.

Ninaweza kusema, this is more than shut up law!

Ndio maana kwa sasa hatupati hapa Jamiiforums thread zenye uwongo uliokaribu na ukweli!
Kama na yeye madai yake ni ya kweli ksms kstumiwa picha za utupu na snyemchikua mumewe, basi kifungu cha kwanza kinamhusu na cha pornography pia. Kwa nini na yeye asishitaki? Wote wana makosa!
 
Huyu aliyetukana bungeni na kuwadhalilisha wanawake sijui atapewa adhabu gani au double standard kama kawa
Mkuu, Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Mwaka 1977 na Sheria ya Mamlaka, Kinga na Haki za Wabunge, ya mwaka 1988, Mbunge analindwa na Ibara ya 100 (1) na (2) ya Katiba ya Tanzania, ambazo zinamkinga kushtakiwa au kufunguliwa shauri la madai mahakamani kwa jambo lolote alilolisema, au alilolitenda, au alililoliwasilisha bungeni kwa njia ya maombi, muswada au hoja.
 
Hii sheria ya mitandao ni kiboko!

Huyu mfanyabiashara amehukumiwa baada ya kukutwa na uvunjifu wa sheria hii,

23. (1) A person shall not initiate or send any electronic communication using a computer system to another person with intent to coerce, intimidate, harass or cause emotional distress.
(2) A person who contravenes subsection (1) commits an offence and is liable on conviction to a fine of not less than three million shillings or to imprisonment for a term of not less than one year or to both.

Kuna hili kosa ambalo nadhani wengi watajikuta katika wakati mgumu kama serikali itaamua kufuatilia!

16.- Any person who publishes information, data or facts presented in a picture, text, symbol or any other form in a computer system where such information, data or fact is false, desceptive, misleading or inaccurate commits an offence, and shall on conviction be liable to a fine not less than three million shillings or to imprisonment for a term not less than six months or to both.

Hili kosa pia linawanyemelea kwa karibu vijana wengi wa dot.com kutokana na mazingira ya kimaisha kwa sasa;

14.-(1) A person shall not publish or cause to be published through a computer system or through any other information and communication technology:
(a) pornography; or
(b) pornography which is lascivious or obscene.
(2) A person who contravenes subsection (1) commits an offence and is liable on conviction, in the case of publication of-
(a) pornography, to a fine of not less than twenty million shillings or to imprisonment for a term of not less than seven years or to both; and (b) pornography which is lascivious or obscene, to a fine of not less than thirty million shillings or to imprisonment for a term of not less than ten years or to both.

Ninaweza kusema, this is more than shut up law!

Ndio maana kwa sasa hatupati hapa Jamiiforums thread zenye uwongo uliokaribu na ukweli!
Hapo kwenye 14 sasa, mwangaliaji anaingia wapi?!
Au anaruhusiwa?!
 
Back
Top Bottom