Aliyetapeli sh600 milioni kwa uganga anaswa

Malamu

JF-Expert Member
Jun 13, 2014
1,223
2,943
Jeshi la Polisi limefanikiwa kumtia mbaroni mkazi mmoja wa jijini Dar es Salaam, anayetuhumiwa

ima
 
Du! Imani ni jambo la ajabu sana.Hivi hii 600m angelipia matangazo kwenye tv na radio zisingetosha.!#
 
Tena unaweza kuta na kugegedwa amegegedwa
Mioyo ya watu wengi hasa wanawake imejawa na hofu,,mashaka,,na woga.Kama anatokea yeyote mwenye uwezo wa kutake adv of situations huwa anapata nafasi ya kuacha madhara na aibu kubwa.Kwa mfano nimefika mkoa mmoja wa kaskazini kuna mama mmoja alikuwa na masharti ya kukata gogo chumba chake cha kulala.Na yeye analala room hio hio.Huko mererani kuna wachimbaji walimkata punda miguu ya nyuma ili wamkanyage kirahisi kama walivyoambiwa na mganga.Waganga wanadhalilisha sana wenye hofu na mashaka.
 
Back
Top Bottom