Aliyesomea CBG anaweza kusoma nini chuo kikuu?

Aliyesomea CBG anaweza kusoma nini chuo kikuu?

Maselino

New Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Kwa mtu aliemaliza form 6 cbg anaeza akapata chuo gani na kusomea nini....je kwa upande wa pharmacy anaeza kwenda kusomea chuo kipi?
 
Pharmacy asahau....uhakika ni kilimo,mifugo,ualimu
 
Ni vizuri ungetaja na ufaulu wake MTU huyo ili tushauri kwa haki mkuu.
 
Back
Top Bottom