Aliyesema hakuna chakula cha msaada alitaka kupimana nguvu na Mungu?

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
612
358
Hebu tujadili kutokutimia au kutimia Kwa Kauli hii iliyotolewa na Mtanzania mmoja Je alitaka kupimana nguvu na Mungu!

Kwa ukame huu Mungu anaenda kutoa fundisho, naomba Mungu aturehemu. Mafundisho haya yaliyawahi kutokea kwa MANABII wa Awali Kwa Mfano Farao wakina Bahali na wengine wengi.

Ushauri
Naomba tumuachie Mungu mamlaka yake yeye ndiye Bwana wa Ulimwengu yeye ndiye anajua kesho yetu Milele.
 
Huyo mtu hujiona yeye ndo mungu wa watanzania ndo maana huwa hapendi kukosolewa sasa safari hii Mungu ameamua kumkosoa sasa ngoja tuone mwisho wa hii movie, mungu udongo na Mungu moto nani ni zaidi?
 
Back
Top Bottom