Gamba la Chuma
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,243
- 346
Habari...tumeokota vyeti vya ndugu GODFREY J SIRINGWE aliyesoma O Level Majengo Sec Moshi na kuhitimu October 2011 na kujiunga na UDSM kwasasa ... Kwa yeyote anayemfahamu Tafadhali awasiliane na 0718818695 /0718199793 kwa msaada zaidi namna ya kuvipata...
Tunomba tuusambaze ujumbe huu ikiwa ni kumsaidia ndugu kuvipata vyeti vyake
Ahsante
Tunomba tuusambaze ujumbe huu ikiwa ni kumsaidia ndugu kuvipata vyeti vyake
Ahsante