Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,177
A programmer/code monkey, computer programmer, developer, coder, or software engineer is a person who writes computer software.Vilevile programmer/code monkey anaweza kubobea in one area of computer programming or to a generalist who writes code for many kinds of software.Anaweza akawa software developer, Web Developer, Mobile Applications Developer, Embedded Firmware Developer, software engineer, computer scientist, or software analyst.Hivyo basi mkuu huyo jamaa uliyemtaja hapo juu ni wa kawaida sana kama ma programmers wengine kinachohitajika ni utofauti yani ile creativity aje na kitu kipya kitakachowashangaza watu kutokana na utofauti wake.Huyo jamaa yako aumize kichwa sana mkuu Stormerydrjaman najiuliza,je wataalam kuikimbia tanzania ni nchi haina fedha au haiwataki hao wataalam? Kijana mmoja anafamu computer science(bcoz ndo anachopenda) anajua computer langs kama c++,java,php,javascript,PYTHON naameandika softwares kazaa anazozitumia kwenye linux yake,na anampango mkubwa hataki kuusema,pia ni webhacker,defacer.JE KAMA MTIHANI WA MOCK MATH ALIKUWA ANA B NECTA ANA D,SI MABANK YAJIANDAE
Last edited by a moderator: