UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Ukiwa mshika dini Mungu anakulinda hayo hayakupati. Faraja yangu ni kumshukuru Mungu kwa kila linalinitokea.[HASHTAG]#skyeclat[/HASHTAG] Niliyumbishwa Na Mchawi Flani Lkn Cha Ajabu Kachakaa Sana Namsubiria At The Right Place Nimalize Yangu Alivunja Furaha Yangu Na Mipango Yangu Waiting...For [HASHTAG]#revenge[/HASHTAG]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Sipo daah[HASHTAG]#emmyta[/HASHTAG] Vp Upo Daa Umeandika Mwenyewe Upo Daa
Hayo majaribio mngekuwa mnayaelekeza kwa yule jamaa mwenye komwe kubwa ili inapotokea kuwa kweli basi taifa lipate faida ya jumla si rejareja.Wakuu Nilikwenda Sehemu Flan Kurekebisha Mambo Yetu Ya Jadi. Adui Yangu Yanamrudia Yale Yale Kapasuliwa Mdomo Na Mwiko Umevimba Kama Nundu.Yani Mule Mule Alimotaka Yanitokee Yanamrudia Yeye Kachakaa Kabisa Nimeamini Makorokoro Ya [HASHTAG]#mshanajr[/HASHTAG] Ya Kweli.
Hii anakuelewa mumeo tu.Eeeh Mungu tusamee tukanyee na mema tuyafanyee
Ndiyo jana ulienda Mombo kwa ajili hii? Hebu loga warudishe bunge liveWakuu Nilikwenda Sehemu Flan Kurekebisha Mambo Yetu Ya Jadi. Adui Yangu Yanamrudia Yale Yale Kapasuliwa Mdomo Na Mwiko Umevimba Kama Nundu.Yani Mule Mule Alimotaka Yanitokee Yanamrudia Yeye Kachakaa Kabisa Nimeamini Makorokoro Ya [HASHTAG]#mshanajr[/HASHTAG] Ya Kweli.
Sasa swala la kunya na hii mada wapi na wapi?Eeeh Mungu tusamee tukanyee na mema tuyafanyee
Wakuu Nilikwenda Sehemu Flan Kurekebisha Mambo Yetu Ya Jadi. Adui Yangu Yanamrudia Yale Yale Kapasuliwa Mdomo Na Mwiko Umevimba Kama Nundu.Yani Mule Mule Alimotaka Yanitokee Yanamrudia Yeye Kachakaa Kabisa Nimeamini Makorokoro Ya [HASHTAG]#mshanajr[/HASHTAG] Ya Kweli.
Dini ni ulevi mbaya sana , ww endelea kushika hizo dini maana ni moja ya sababu zinazotufanya tuwe watumwa hadi Leo ni hizo dini.Ukiwa mshika dini Mungu anakulinda hayo hayakupati. Faraja yangu ni kumshukuru Mungu kwa kila linalinitokea.
Acha mara moja hiyo biashara ya kwenda kwa waganga wa jadi. Utaishia Jehanam ndugu yangu kwa ajili ya mambo ya Dunia yanayopita.