Sasa ni mwendo wa kuwekana vikwazo.
Walivyoona CHADEMA inafanyiwa figusi walijua itakuwa kwa CHADEMA.
Unaambiwa watu wanataka kutoroka kabisa kama ana kamatwa fulani na kuwekwa ndani itakuwa mimi.
Haya kazi kwenu mtachagua sasa msije shangaa mpaka aliyempigania kikatiba mstaafu CDF naye kafanywa kama wengine.

- Tunachokijua
- Ummy Mwalimu amewahi kuwa mbunge wa Tanga Mjini hadi kufikia mwaka 2025 kabla ya uchaguzi mkuu, na Waziri wa Wizara mbalimbali ikiwemo, wizara ya Afya na TAMISEMI.
Madai
Mtumiaji mmoja wa ukurasa wa X alichapisha Taarifa kupitia ukurasa wake wa mtandaohuo akieleza kuwa aliyewahi kuwa mbunge wa Tanga Mjini na Waziri wa afya Ummy Mwalimu, yupo kwenye zuio la safari na amezuiliwa mpakani wakati akielekea nchini Kenya.
Uhalisia wa Madai hayo
JamiiCheck imefanya ufuatiliaji wa kina na kujirirdhisha kuwa madai hayo si ya kweli.
Ummy Mwalimu ameeleza kuwa taarifa hiyo si ya kweli, hajasafiri na wala hakuwa na mpango wa kusafiri kwenda huko walikoandika kuwa ameenda na akazuiwa
Ummy Mwalimu alieleza kuwa;
"Hiyo ni taarifa ya uongo, sijasafiri wala sikuwa na mpango wa kusafiri kwenda huko walikoandika kuwa nimeenda na nikazuiwa”