Aliyekuwa muigizaji wa Isindigo maarufu kwa jina la Letti Matabhane Afariki

Kumbe kalikuwa na wadudu kadhaa!! Mimi mwaka 2005 nilipokuwa J'berg nilitaka nikatafute bhana.
 
Huyu ndo Nandipha matabane aliekua pia akiitwa Leti matabane.mbona picha ziko tofauti ama mambo ya calolite?.
 
hatimaye mtoto wa mama Agness amefariki kiukweli.
r.i.p cute lady
 
Umechemka mkuu Nandipa hakuwahi kuitwa Letti. Nandipa ni Nandipa na Letti ni Letti,ni watu wawili tofauti kbs.
 
Umechemka mkuu Nandipa hakuwahi kuitwa Letti. Nandipa ni Nandipa na Letti ni Letti,ni watu wawili tofauti kbs.
ooh,kweli nimechemsha Nandipha alikua wifi yake letti,miaka mingi sana imepita tangu 98 ndo maana nimewachanganya hasa ni kwasababu Nandipha nae alishajitangaza ana HIV.
 
Nandipha na lettie ni watu tofauti kabisa kwa wanofuatilia isidingo wala picha zao hazifanani kabisa
 
Huyu ndo Nandipha matabane aliekua pia akiitwa Leti matabane.mbona picha ziko tofauti ama mambo ya calolite?.

Hapana si huyo mkuu...kenyewe ni haka hapa...jina lake la ukweli ni Lesego Motsepe...hilo la Letti ni la kuigizia tu..dah RIP



 
Na Nandipha ni +? I see, kunahitajika nguvu ya ziada kupambana na hili janga.

ooh,kweli nimechemsha Nandipha alikua wifi yake letti,miaka mingi sana imepita tangu 98 ndo maana nimewachanganya hasa ni kwasababu Nandipha nae alishajitangaza ana HIV.
 
Huyu ni mmoja wa waigizaji nilikua nawapenda kwenye tamthilia ya Isindigo the Need. Alipumzika kuigiza katika tamthilia wakamtoa kwa njia ya kifo cha ajali ya gari katika mchezo.

Alikataa kuendelea kutumia madawa ya ARVs toka 2012, jambo ambalo linafanya wadau wengi kuamini kifo chake kingeweza kuepukika kwa kunywa madawa hayo yanayosaidia kurefusha maisha.

Rest in Peace Lesabo.




Former Isidingo actress Lesego Motsepe (39) died on Monday in her Randburg home. Her brother, Moemise Motsepe, found the actress at 11 in the morning.


Lesego, who played Letti Matabane in Isidingo for 10 years, was HIV positive and in 2012 said she would no longer be taking her antiretrovirals and instead focus on living a healthy lifestyle. One of her last high-profile roles was to portray songbird Brenda Fassie on stage. She also told YOU in an interview that she wanted to "travel across Africa and teach acting in different places".


If she hadn't become an actress, she said, she would have become a lawyer or a psychologist. "It's a sad day; I'm in tears. Lesego was my colleague and friend for over the decade," says actress Hlubi Mboya. Hlubi played Lesego's sister-in-law in Isidingo.


"She was very vocal about not being on ARVs. I feel like this misfortune could have been prolonged, if only she had made a different decision. Condolences to the family. She [Lesego] was a sweetheart, a song bird with a gracious heart."


Hamba kahle, Lesego.

Source - Former Isidingo passes: Rest in peace, Lesego | YOU

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…