Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, John John Nchimbi, amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Nyasa.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Katika Bunge la 12, Jimbo la Nyasa lilikuwa linawakilishwa na Mhandisi Stella Manyanya.