coco bella
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 305
- 315
Wapenda ngono bana.jukwaa la mahusiano halafu unasema yeyote
Kwani Mkuu mahusiano ni lazma yawe ya mapenzi tu? Nisamehe kwa uelewa wangu mdogojukwaa la mahusiano halafu unasema yeyote
Ahsante kwa kunisaidia ahsante sana kama hutajali nitumie namba yako inbox nikutumie hela ya sodaWapenda ngono bana.
Jukwaa la mahusiano..mahusiano sio lazima yawe ya mapenzi. Au me na ke.
Mahusiano yababa na wanawe..mama na baba..rafiki kwa rafiki.
Acha kuwaza matus
Sitafuti mwanaume mpendwa wangu!!!!Upweke unauma, natafuta mwenza - JamiiForums
Fursa hii kwa wanaume waliopo morogoro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mpendwa kama nimekukwaza kwa mimi kukurahisishia kupata mtu wa kukutembeza kwa kutumia uzi wako wa awali.
anakutembeza kwa bajet yake au yako? au mnachanga?Habari zenu Wakuu
Nimekuja Morogoro kikazi, nimemaliza kilichonileta tangu Jana, natamani kwa siku ya Leo nipate mwenyeji hapa anitembeze maeneo mbalimbali ya mji huu, mwenyeji awe jinsia yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi wangu wa awali hauhusiani na mimi kutafuta mwenza, umenifanya kama muhangaikaji wa kutafuta mwanaume kila mkoa and I swear atakayepata bahati ya kunitembeza Leo nahitaji aje awasimulie and I wish ungekuwa wewe.Pole sana mpendwa kama nimekukwaza kwa mimi kukurahisishia kupata mtu wa kukutembeza kwa kutumia uzi wako wa awali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi niko full akiamua kunitreat hiyo ni maamuzi ya mtu binafsi
Sorry mpendwa, kuhusu mimi kukutembeza sidhani kama linawezekana maana nipo kijiji cha gwarama wilaya ya kakonko mkoani kigoma.Uzi wangu wa awali hauhusiani na mimi kutafuta mwenza, umenifanya kama muhangaikaji wa kutafuta mwanaume kila mkoa and I swear atakayepata bahati ya kunitembeza Leo nahitaji aje awasimulie and I wish ungekuwa wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
😳😳😳Ahsante kwa kunisaidia ahsante sana kama hutajali nitumie namba yako inbox nikutumie hela ya soda
Sent using Jamii Forums mobile app
aha sawaBinafsi niko full akiamua kunitreat hiyo ni maamuzi ya mtu binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app